Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yashuka ufanyaji biashara

Tanzania imeporomoka katika nafasi za nchi zenye mazingira bora ya ufanyaji biashara ulimwenguni licha ya maboresho katika baadhi ya nyanja za upatikanaji wa taarifa za mikopo na kuboresha bandari ya Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAKABIDHIWA TAKWIMU ZA UFANYAJI BIASHARA KATI YAKE NA JUMUIYA YA MADOLA.


Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati aliyeshika kalamu) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland. Kushoto kwa Prof. Kabudi ni Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva,Uswisi Balozi Maimuna Tarishi pamoja na Wakurugenzi na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Jumuiya hiyo zilizopo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shilingi ya Tanzania yashuka thamani

Thamani ya shilingi ya Tanzania imeelezwa kuanguka kwa kiasi cha asilimia 7.9.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yashuka tena viwango Fifa

>Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoa viwango vipya vya ubora, huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi 12, kiasi cha kuwaumiza wadau wa soka nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Tanzania yashuka viwango kibiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Tanzania imeshuka kwa nafasi tisa katika orodha ya nchi zinazofanya biashara duniani zilizopo kwenye viwango vya Benki ya Dunia (WB) na kwa sasa inashika nafasi ya 145 kati ya nchi 189.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bei ya Mafuta yashuka zaidi Tanzania

Mamlaka ya udhibiti wa Nishati ,Maji na mafuta EWURA nchini Tanzania imetangaza punguzo la jingine la mafuta nchini

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya yashuka kwa idadi ya mamilionea huku Tanzania ikipanda.

Inakadiriwa kuwa Mamilionea 499 kwa kiwango cha dola wamepungua nchini Kenya kutoka mwaka jana.

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zahra Ramadhani(kulia) akielezewa jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Habibu Ngosha ,kuhusiana na simu aina ya Smart Phone wakati Semina maalum ya mafunzo ya Kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya biashara hapo jana chuoni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wanaosoma masomo ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Bei ya umeme yashuka

Pg 3Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushusha bei ya nishati ya umeme kwa watumiaji wakubwa wa majumbani wanaotumia zaidi ya uniti 75 kwa mwezi pamoja na viwanda vikubwa na vya kati.
Tangazo la kushushwa kwa bei ya nishati ya umeme limetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felex Ngamlagosi, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyikia jana ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alisema punguzo hilo limezingatia gharama za...

 

10 years ago

Mtanzania

Kodi ya mishahara yashuka

mkuyaNa Waandishi wetu, Dodoma/Dar

WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum, amesema Serikali imeendelea na uboreshaji wa masilahi ya wafanyakazi ambapo kwa mwaka huu wa fedha imepunguza tozo la kodi ya mapato ya ajira kutoka asilimia 12 ya sasa hadi asilimia 11.

Akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 mjini Dodoma jana, Waziri Saada alisema hali hiyo inakwenda na dhamira ya Serikali kuwapunguzia mzigo wa kodi wafanyakazi.

Alisema mshahara wa kima cha chini umeongezeka kutoka Sh 65,000 mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani