Tanzania yatia aibu Congo Brazaville
Jahazi la Tanzania katika michezo ya Afrika nchini Congo –Brazzaville limezama katika michezo ya Afrika baada ya awali kwenda mrama katika michezo ambayo timu hizo zilishiriki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville
10 years ago
MichuziUTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
LeRoy ajiuzulu kuifunza Congo Brazaville
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Watu Congo Brazaville wakimbilia DRC
10 years ago
BBCSwahili01 May
Niqab yapigwa marufuku Congo Brazaville
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Machafuko zaidi yaripotiwa Congo Brazaville
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JrqZQeE3sIKqbUmSpQk6JH1M*14f3PfSZVW3onod7ySrpfj-3FLxHP16VsOAuM*B4kKRgYyxfbkXsIVRBMdcQ88/Majimama.gif?width=650)
SHEREHE YA WATOTO, MIJIMAMA YATIA AIBU!
9 years ago
Bongo519 Nov
Claude LeRoy ajiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Congo Brazaville
Aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, Kocha mfaransa Claude LeRoy amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy mwenye umri wa 67 aliuambia uongozi wa soka wa kocha wa Congo uamuzi huo muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia kwa kuifunga Ethiopia kwa mabao 2-1.
Kuna tetesi huenda kocha huyu akarudi kuifundisha timu ya taifa ya Cameroon, ambayo imemtimua kocha wake Volker Finke.
LeRoy,ana historia ya kuwa...
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...