LeRoy ajiuzulu kuifunza Congo Brazaville
Kocha mfaransa Claude LeRoy, aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville,amejiuzulu kuifundisha timu hiyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Nov
Claude LeRoy ajiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Congo Brazaville
Aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, Kocha mfaransa Claude LeRoy amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy mwenye umri wa 67 aliuambia uongozi wa soka wa kocha wa Congo uamuzi huo muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia kwa kuifunga Ethiopia kwa mabao 2-1.
Kuna tetesi huenda kocha huyu akarudi kuifundisha timu ya taifa ya Cameroon, ambayo imemtimua kocha wake Volker Finke.
LeRoy,ana historia ya kuwa...
9 years ago
Mtanzania20 Nov
LeRoy ajiuzulu kuifundisha Congo Brazzaville
BRAZZAVILLE, CONGO
KOCHA raia wa nchini Ufaransa, Claude LeRoy, aliyekuwa mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy, mwenye umri wa miaka 67, aliuambia uongozi wa soka wa timu kwamba anatarajia kuacha kuifundisha timu hiyo kutokana na kubanwa na majukumu mengine.
Hivyo kocha huyo ameamua kufanya maamuzi hayo mara baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia baada ya kuifunga Ethiopia mabao...
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville
9 years ago
BBC
LeRoy quits as Congo coach
10 years ago
BBC
LeRoy can inspire Congo - Oniangue
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Tanzania yatia aibu Congo Brazaville
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Watu Congo Brazaville wakimbilia DRC
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Machafuko zaidi yaripotiwa Congo Brazaville
10 years ago
BBCSwahili01 May
Niqab yapigwa marufuku Congo Brazaville