TANZIA- MAMA WA MWENYEKITI TUGHE MKOA WA DAR ES SALAAM
Enzi za Uhai wake
Mwenyekiti Tughe Mkoa wa Dar es Salaam, Mziwanda Chimwege anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi kilichotokea 21, Februari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo 23, Februari mwili utaondoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Morogoro Wilaya ya Kilosa ambapo mwili utapumzishwa katika nyumba yake ya milele Alasiri ya 23,Februari. Salam ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote walipo.
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMWENYEKITI WA SOKA LA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM DKT. MANENO TAMBA AFARIKI DUNIA
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wafanya biashara wa chakula mkoa wa Dar Es Salaam waanzisha jumuiya ya Mama na Baba lishe!
Baadhi ya akina mamalishe na babalishe wakiwa katika moja ya majumuiko yao (Picha kwa msaada wa mtandao wa Global Publisher.
Na Rabi Hume
Wafanya biashara wa kuuza chakula katika mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha jumuiya ya wafanya biashara hao ikiwa na lengo la kuunganisha wafanyabiashara hao, kulinda haki zao na kuzitafutia ufumbuzi wapatapo tatizo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Ramadhani Mhonzu amesema kuwa wameamua kuanzisha jumuiya hiyo ili iweze...
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO
Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu...
11 years ago
MichuziMKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA TAMASHA LA VITABU VYA WATOTO MKOA WA DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE
10 years ago
GPL08 May
5 years ago
MichuziTANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.
Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu
10 years ago
MichuziTANZIA: MZEE JOACHIM AUGUSTINO NGONYANI AFARIKI DUNIA DAR ES SALAAM