TANZIA: MZEE JOACHIM AUGUSTINO NGONYANI AFARIKI DUNIA DAR ES SALAAM

Ndugu Augustino Ngonyani, anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi Mzee Joachim A. Ngonyani kilichotokea alfajiri ya tarehe 6.8.2015, Dar Es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Sinza Makaburini. Mwili wa marehemu utaagwa tarehe 8.8.2015 Jumamosi saa 3 asubuhi katika kanisa la Mt.. Petro Oysterbay na baada ya hapo kusafirishwa siku hiyo hiyo kwenda Songea kwa Mazishi. Mazishi ya Mzee Ngonyani yanatarajia kufanyika siku ya Jumatatu 10.08.2015, Kijijini Kwake Parangu,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.
Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu
11 years ago
Michuzi+na+Mwanae+Dani+Hudu.jpg)
Tanzia: Bondia wa zamani iraq hudu afariki dunia leo, kuzikwa kesho kisutu Dar es salaam
10 years ago
Michuzi
TANZIA: MZEE SIMON MEMBE AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Mipango ya mazishi inafanywa Dar es Salaam nyumbani kwa kaka wa Marehemu Mhe Bernard Membe (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu mchana tarehe 5 Oktoba 2015 saa 9 alasiri.
Ibada na heshima za mwisho kwa Dar es...
10 years ago
GPL
TANZIA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK
5 years ago
Michuzi
TANZIA: Mzee Edward Mfinanga wa Mworombo Arusha afariki dunia

Mipango ya Mazishi inafanyika kwa Mworombo, Arusha. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na Marafiki popote pale walipo.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA.
JINA LAKE NA LIHIMIDIWEAMINA
11 years ago
Michuzi30 Oct
TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.

10 years ago
GPL
TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI
10 years ago
Michuzi.jpg)
Tanzia: Sheikh Ali Mzee Comorian afariki dunia mchana huu, kuzikwa kesho saa nne asubuhi
.jpg)
Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit Imetolewa na:Abdulrahman S. I....
10 years ago
GPL
TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA