Tanzia: Brigedia Jenerali (mstaafu) Albert Costantino Frisch afariki dunia
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Albert Costantino Frisch (mstaafu) kilichotokea tarehe 13 Aprili 2017.
Marehemu Brigedia Jenerali Albert Costantino Frisch (mstaafu) alizaliwa tarehe 13 Novemba 1944, mtaa wa Uhuru, Tarafa ya Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam. Alisoma na kuhitimu Shule ya Msingi mkoani Dar es Salaam na baadaye kuendelea na masomo ya Sekondari katika Shule ya Sekondari St. Joseph Convert School,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Brigedia Jenerali Mbita afariki dunia
Jonas Mushi na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MMOJA wa Watanzania waliofanikisha ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika,Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82), alifariki dunia jana katika Hospitali Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo ambako alikuwa amelazwa kwa muda mrefu.
Akizungumza na MTANZANIA nyumbani kwa marehemu Chang’ombe Madukani Dar es Salaam jana, mtoto wa marehemu Iddi Mbita alisema baba yake alifariki dunia saa 3:30 asubuhi baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu...
10 years ago
MichuziBRIGEDIA JENERALI MSAAFU HASHIMU SAID MTEZO AFARIKI DUNIA
10 years ago
Dewji Blog26 Apr
Tanzania yampoteza mtu muhimu, ni Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki dunia mapema leo
Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita
Taifa likiwa katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania Bar na Zanzibar, mapema leo limepata pigo baada ya kuondokewa na mtu muhimu na aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki katika dunia majira ya asubuhi katika hospitali kuu ya Jeshi, Lugalo, jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa duru za habari kutoka familia ya...
10 years ago
MichuziJUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam
Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam.
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania, bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu Zimbabwe na Afrika...
10 years ago
VijimamboBRIGEDIA JENERALI ( MSTAAFU ) HASHIM MBITA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, JIJINI DAR
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA LEO
10 years ago
Vijimambo08 Jan
RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA HOSPITALI YA LUGALO
10 years ago
MichuziBrigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar
10 years ago
MichuziMwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC, Rais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita