Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF NA MKAKATI WA KUKABILIANA NA TATIZO LA LISHE DUNI NCHINI.

 Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Vicent Assey akizungumza na wataalam walioshiriki katika mkutano uliojadili namna ya kuhusisha masuala ya lishe katika mpango wa kunusuru kaya masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi unaoratibiwa na TASAF  Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Vicent Assey akizungumza na wataalam walioshiriki katika mkutano uliojadili namna ya kuhusisha masuala ya lishe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

LISHE NA ELIMU DUNI SABABU KUBWA YA UDUMAVU IRINGA




Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha Unga wa sembe wenye viini lishe cha AMP Super Sembe, Alfred Mpanga akizungumza kuhusu uzalishaji wa unga wenye viini lishe unaosaidia jamii kupambana na udumavu na utapiamlo
Afisa Lishe wa Mkoa wa Iringa, Neema Mtekwa akizungumza na wanahabari hawapo pichani katika mahojiano maaluma kuhusu hali ya lishe mkoa wa Iringa. (Picha na denis Mlowe)

………………………………………………..

NA DENIS MLOWE,IRINGA

LISHE duni kutokana na wananchi kutokuwa na elimu ya ulaji wa vyakula vya...

 

9 years ago

Michuzi

LISHE DUNI YACHANGIA VIFO VYA WATOTO NA KIMAMA WAJAWAZITO

 Na Woinde Shizza,Arusha.LISHE duni kwa kinamama wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano imekua chanzo cha vifo vya watoto wadogo pamoja na kinamama hao hali ambayo  hali ambayo inazorotesha maendeleo ya kiafya na kitaaluma hivyo watanzania wametakiwa kutumia lishe bora yenye vitamin na virutubisho ili kujenga jamii yenye afya bora kwa ustawi wa nchi.
Hayo yameelezwa na Naibu waziri wa Afya Dokta Kebwe S.Kebwe akitoa takwimu za vifo vya watoto na kinamama vinavyosababishwa na...

 

10 years ago

Habarileo

'Watoto 130 hufa kila siku kwa lishe duni'

WAKATI Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi.

 

10 years ago

Michuzi

Mtwara yapata Mkakati wa Mawasiliano wa Kukabiliana na Maafa

Ofisi ya waziri Mkuu kupitia Idara ya Uratibu wa Shughuli za maafa imewasilisha Mkakati wa Mawasiliano wa kukabiliana na maafa kwa mkoa wa Mtwara. Mkakati huo umetayarishwa kwa ajili ya kuhakikisha kwamba kunakuwa na Mtiririko unaoeleweka wa taarifa za tahadhari kabla ya maafa, wakati wa maafa na baada ya maafa kutokea.
Mkakati huo umezingatia majanga ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara na kusababisha madhara makubwa mkoani Mtwara. Majanga hayo ni; Ukame, mafuriko na mlipuko...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YAPONGEZWA KWA MKAKATI NZURI WA KUKABILIANA NA CORONA

Mkurugenzi wa Kiwanda cha maziwa ya Asas Ahmed Asas akizungumza na waandishi habari mara baada ya kumalizika kwa kikao cha wadau wa afya walipokuwa wakijadili kuhusu kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona


NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

Serikali ya wilaya ya Iringa imeipongeza kampuni ya Asas kwa mikakati ambayo wanayo katika kuhakikisha wanajilinda na maambukizi ya virusi vya Corona ambavyo vimekuwa tishio kwa maisha ya binadamu. 
Akizungumza kwenye kikao cha wadau mkuu wa wilaya ya Iringa...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna mkakati thabiti wa kupunguza tatizo la Machinga

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, juzi alitoa siku mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo, wanaojulikana zaidi kwa jina la Machinga, kubomoa mabanda yao eneo la Jangwani, Dar es Salaam kwa maelezo kuwa ofisi yake haijatenga sehemu hiyo kwa ajili ya biashara.

 

9 years ago

Michuzi

LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

 Ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Kufahamu  kwa  kina  kuhusu  tatizo  la  ukosefu  &  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni muhimu  sana  kutembelea    link  hii  hapa  chini.http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.htmlLISHE  YA  NGUVU  ZA  KIUME  NI  NINI  ?Lishe  ya  nguvu  za  kiume  ni  lishe  maalumu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za ...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI-2

Leo naendelea kuelezea namna ya kukabiliana na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambalo limekuwa likiwasumbua baadhi ya watu na kusababisha washindwe kupata watoto. CHANZO CHA TATIZO
Tumeshaona aina kuu tatu za uzibaji wa mirija ya uzazi ambazo ni mwishoni, katikati na mwanzoni. Chanzo kikuu cha uzibaji huu ni maambukizi sugu ya kizazi ambayo kitaalam huitwa ‘pelvic inflamatory Diseases’ au kwa kifupi huitwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani