Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LISHE NA ELIMU DUNI SABABU KUBWA YA UDUMAVU IRINGA




Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha Unga wa sembe wenye viini lishe cha AMP Super Sembe, Alfred Mpanga akizungumza kuhusu uzalishaji wa unga wenye viini lishe unaosaidia jamii kupambana na udumavu na utapiamlo
Afisa Lishe wa Mkoa wa Iringa, Neema Mtekwa akizungumza na wanahabari hawapo pichani katika mahojiano maaluma kuhusu hali ya lishe mkoa wa Iringa. (Picha na denis Mlowe)

………………………………………………..

NA DENIS MLOWE,IRINGA

LISHE duni kutokana na wananchi kutokuwa na elimu ya ulaji wa vyakula vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

ANGONET yahamasisha lishe kutokomeza udumavu na Utapiamlo

IMG_0422

Katibu Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu  jijini Arusha, Petter Bayo (kushoto)  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo. Katikati ni Mratibu wa Angonet, Petro Ahham na kulia ni Jovitha Mlay mwanachama wa shirika hilo.(Picha na Mahmoud Ahmad).

IMG_0437

Mratibu wa Angonet ,Petro Ahham akifafanua juu ya Mkakati wa Lishe wa taifa wa...

 

5 years ago

Michuzi

Wadau wakutanishwa na Lishe Endelevu kutokomeza udumavu Rukwa

Wadau mbalimbali wa maendeleo katika Mkoa wa Rukwa wamekutanishwa katika warsha ya wadau wa lishe ili kuhakikisha wanajadili na kushirikiana juu ya utekelezaji wa afua za lishe ndani ya mkoa huo na hatimae kutokomeza utapiamlo unaopelekea zaidi ya watoto 90,000 walio na umri wa chini ya miaka mitano kuwa na udumavu

Katika kikao hicho kilichoongozwa na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule aliyemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Rukwa alisema kuwa mbali na mpango mkakati...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF NA MKAKATI WA KUKABILIANA NA TATIZO LA LISHE DUNI NCHINI.

 Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Vicent Assey akizungumza na wataalam walioshiriki katika mkutano uliojadili namna ya kuhusisha masuala ya lishe katika mpango wa kunusuru kaya masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi unaoratibiwa na TASAF  Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Vicent Assey akizungumza na wataalam walioshiriki katika mkutano uliojadili namna ya kuhusisha masuala ya lishe...

 

9 years ago

Michuzi

LISHE DUNI YACHANGIA VIFO VYA WATOTO NA KIMAMA WAJAWAZITO

 Na Woinde Shizza,Arusha.LISHE duni kwa kinamama wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano imekua chanzo cha vifo vya watoto wadogo pamoja na kinamama hao hali ambayo  hali ambayo inazorotesha maendeleo ya kiafya na kitaaluma hivyo watanzania wametakiwa kutumia lishe bora yenye vitamin na virutubisho ili kujenga jamii yenye afya bora kwa ustawi wa nchi.
Hayo yameelezwa na Naibu waziri wa Afya Dokta Kebwe S.Kebwe akitoa takwimu za vifo vya watoto na kinamama vinavyosababishwa na...

 

10 years ago

Habarileo

'Watoto 130 hufa kila siku kwa lishe duni'

WAKATI Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi.

 

9 years ago

Habarileo

Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora

WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.

 

11 years ago

Michuzi

USAID YATOA ELIMU YA LISHE DODOMA

  Mtaalamu wa Lishe Bi Julita kutoka USAID Tuboreshe Chakula Project akimuelekeza mgeni rasmi katibu tawala wilaya Kongwa, Bw Joseph Kisyela umuhimu na jinsi ya kutumia Virutubishi ambavyo ni muhimu kwa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi miaka 5. Sherehe hizo zilifanyika Wilaya Kongwa,kata ngomai mkoani Dodoma   Katibu wa wilaya ya Kongwa Bw Joseph Mwita Kisyeli,akitoa hotuba juu ya umuhimu na faida za chakula kilichoongezwa virutubishi,kwa mtoto miezi 6 - miaka 5,katika kampeni ya lishe...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIMASAI WAPATIWA ELIMU YA LISHE

Mtaalamu wa masuala ya lishe na Afya ya jamii kutoka taasisi ya Footprint,Allan Rwechungura akiongea na viongozi wa Wilaya ya Monduli juu ya matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi.Kampeni ya kuhamasisha matumizi a vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijii inaendelea katika wilaya mbalimbali nchini. Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani