Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAID YATOA ELIMU YA LISHE DODOMA

  Mtaalamu wa Lishe Bi Julita kutoka USAID Tuboreshe Chakula Project akimuelekeza mgeni rasmi katibu tawala wilaya Kongwa, Bw Joseph Kisyela umuhimu na jinsi ya kutumia Virutubishi ambavyo ni muhimu kwa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi miaka 5. Sherehe hizo zilifanyika Wilaya Kongwa,kata ngomai mkoani Dodoma   Katibu wa wilaya ya Kongwa Bw Joseph Mwita Kisyeli,akitoa hotuba juu ya umuhimu na faida za chakula kilichoongezwa virutubishi,kwa mtoto miezi 6 - miaka 5,katika kampeni ya lishe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SSRA YATOA ELIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI (TUCTA) MKOANI DODOMA

Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. 
Mbali na hilo, waajiri wa metakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao, kujiunga na mfuko wasio upenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. 
Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...

 

11 years ago

Habarileo

USAID yatoa baiskeli 123 kuhamasisha afya ya uzazi

SHIRIKA la Misaada la Maendeleo la Marekani (USAID) limetoa jumla ya baiskeli 123 na vifaa mbalimbali kwa ajili ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya watakaoshiriki katika kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa akinamama Unguja na Pemba.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Michuzi

wakazi wa Meru wapatiwa elimu ya lishe


Mtaalamu wa Lishe Tom Mwaipenye kutoka taasisi ya Foot Print, akiwaeleza akina mama waishio maeneo yanayozunguka hospitali ya Halmashauri ya Meru mkoani Arusha, umuhimu wa Virutubishi kwa afya bora ya mwili na akili za mtoto, ikiwa ni sehemu ya kampeni za kuelimisha umma juu ya faida za kutumia Virutubishi ili kuboresha afya. Kampeni hizi zinaendeshwa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Chakula na Lishe, na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania
Akina mama...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIMASAI WAPATIWA ELIMU YA LISHE

Mtaalamu wa masuala ya lishe na Afya ya jamii kutoka taasisi ya Footprint,Allan Rwechungura akiongea na viongozi wa Wilaya ya Monduli juu ya matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi.Kampeni ya kuhamasisha matumizi a vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijii inaendelea katika wilaya mbalimbali nchini. Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YATOA MSAADA KWA MAMA LISHE


NA DENIS MLOWE-IRINGA
Katika kuendelea na mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya corona nchini kampuni Asas yenye makao makuu mkoani Iringa imegawa msaada wa barakoa 500 kwa mama lishe wanaofanya biashara zao katika masoko matano yaliyoko manispaa ya Iringa kwa ajili ya kujinga na Virusi Vya Corona.
Msaada huo umetolewa kwa mama lishe hao ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo kuungana na serikali katika kutokomeza kuenea kwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 ambao umekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Wakaazi wa Morogoro mjini wapatiwa elimu ya lishe

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mhe Anthony Mataka(Kushoto) akiwa na wataalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula, akishiriki kwa vitendo  kuandaa uji wa mtoto wa miezi 6 hadi miaka 5 kwa kuchanganya virutubishi tayari kwa kumnywesha mtoto katika kampeni za uhamasishaji na uelimishaji wa virutubishi, katika viwanja vya Shule ya msingi Mafisa A mkoani Morogoro. Kampeni hizi zimedhaminiwa na shirika la misaada la marekani USAID Tuboreshe chakula. Mkuu wa wilaya Mvomero, Mhe. Anthony Mataka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani