TASWIRA KUTOKA MAURITIUS
Ukiwa unatoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport,Mauritius lazima utaona bango hili ambalo linakaribisha katika nchi hiyo.Endelea kuburudika na taswira mbali mbali za Mauritius.Kijani chatawala nchini Mauritius.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KATIKA USIKU WA UNIVERSAL CHANNEL (MULTICHOICE AFRICA EXTRAVAGANZA) NCHINI MAURITIUS
Wadau kutoka nchi mbali mbali barani Afrika wakiwa kwenye tafrija maalum ya Universal Channel inayoonyeshwa kwenye DStV ikiwa ni sehemu ya uonyeshaji wa kazi mbali mbali za MultiChoice Africa.Picha zote na Othman Michuzi.
MC wa Kimataifa ambaye pia ni Muongozaji wa Mashindano ya Big Brother Africa, IK Osakioduwa akiongoza shughuli hiyo iliyofanyika jana usiku kwenye Hoteli yenye hadhi ya Kimataifa ya Trou Aux Biches,nchini Mauritius.
IK akifanya mahojiano na waigizaji wa moja ya filamu...
IK akifanya mahojiano na waigizaji wa moja ya filamu...
9 years ago
MichuziTaswira kutoka kutoka Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid M. Hamid (wa pili kushoto) akisoma matokeo ya wagombea nafasi ya Urais leo jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu,anayemfuata kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva na Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani Baadhi ya waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya nchi wakifuatilia zoezi la kutangazwa kwa matokeo ya wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu leo...
11 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 14 BARANI AFRIKA WAPEWA MAFUNYO YA UCHUNGUZI WA UHALIFU NCHINI MAURITIUS
Mtaalam wa Maswala ya Uchunguzi wa Uhalifu (Crime and Investigation) kutona nchini Uingereza,Steven Gaskin (kulia) akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa waandini wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbali mbali barani Afrika ya namna ya kuweza kuchunguza na kuweza kubaini mwalifu katika tukio lolote,katika mafunzo yaliyofanyika jana kwenye ufukwe wa hoteli ya Trou Aux Biches,Mauritius.Mafunzo hayo yametolewa ikiwa ni sehemu kujionea kazi mbali mbali zinachoonyeshwa kwenye DSTV na GOTV...
10 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboTASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA
Balozi Tuvako Manongi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akimkaribisha Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa ( wa kwanza kushoto) kuwazungumza wajumbe wa Kamati hiyo ya Sita ambayo jukumu lake ni kuratibu na kuendesha mijadala yote inayohusu masuala ya sheria. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo mwenyekiti wa Kamati hiyo kwa kipindi cha mwaka moja. Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekuwa akitembelea na...
11 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akielezwa jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi katika viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu,Mh. Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge mjini Dodoma jana.
10 years ago
Michuzitaswira mbalimbali kutoka mikoani
Vijana wakitoka kukata nyasi kwa ajili ya mifugo huko Kaliua mkoani Tabora ikiwa ni sehemu ya biashara yao
Kijana Ephrahim Maksoni akipita juu ya reli kwa baiskeli maeneo ya Nguruka Mkoani KigonaAbiria wakiteremka toka ndani ya Basi la Saratola likitokea Nguruka kwenye kituo kipya cha mabasi kilichopo Masanga Gungu mkoani kigoma
Wafanya biashara wa chumvi wakiwauzia abiria waliokuwa wakisafiri na basi lililokuwa likitoka Nguruka kuelekea Kigoma Wakichota maji eneo katika kituo cha mabasi...
11 years ago
MichuziTASWIRA ZA UDOM KUTOKA ANGANI
Taswira za University of Dodoma (UDOM) kutoka angani. Ukitaka mengi toka chuo hiki ambacho ni mojawapo ya vyuo vikubwa katika Afrika Mashariki na ya kati BOFYA HAPA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania