Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA MGOMO WA MADEREVA MWANZA

Mabasi yanayoenda mikoani yakiwa yamepaki katika kituo cha Mabasi cha Nyegezi mkoani Mwanza kufuatia mgomo wa Umoja wa Vyama vya Madereva nchini wakishinikiza serikali kutatua kero zinazowakumba madereva hao. Maofisa polisi wa Jiji la Mwanza wakijadiliana katika kituo cha mabasi cha Nyegezi wakati wa mgomo huo. Abiria…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR

Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP + 255 753 715…

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR

Mabasi yaendayo mikoani yakiwa Stendi ya Ubungo yamepaki. Wasafiri wakiwa hawajui hatma ya safari yao eneo la Ubungo. Hali halisi ya Ubungo ilivyokuwa asubuhi leo.…

 

10 years ago

Habarileo

Abiria wataabika na mgomo wa madereva

ABIRIA waliolazimika kuanza safari juzi mchana badala ya alfajiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani, hasa wa mikoa ya mbali wamejikuta wakikabiliana na adha na taabu ya kuchelewa kutoka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, kutokana na mgomo wa madereva.

 

10 years ago

GPL

UFUMBUZI WA MGOMO WA MADEREVA WANAPATIKANA

Waziri wa kazi na ajira mhe.Gaudencia Kabaka Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Pia  Madereva kusoma, Serikali na Madereva wamekubaliana kukutana mwezi huu tarehe 18 kuzungumza njia mbadala ya kutumika. Yaliokuwa malalamiko ya...

 

10 years ago

Habarileo

Chama cha madereva chakataa mgomo

CHAMA Cha Madereva Tanzania kimekanusha madai ya kuwepo kwa mgomo wa madereva uliopangwa kufanyika kesho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madereva wa bodaboda Mtwara wasitisha mgomo

MADEREVA pikipiki ‘bodaboda’ mkoani Mtwara ambao juzi waligoma kubeba abiria kupinga kitendo cha askari polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kuwakamata na kuwapiga bila sababu za msingi, jana wamerejea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani