Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATHMINI YA ARDHI YA BANDARI MPYA YA MBEGANI, BAGAMOYO, YAKAMILIKA

Na Saidi Mkabakuli  Tathmini iliyokuwa ikifanyika katika kutimiza ndoto ya kuwa na Bandari mpya ya Mbegani kufikia mwaka 2017 na kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2011/12 - 2015/16) imekamilika kwa takribani asilimia 90 ya eneo zima la mradi huo.   Hayo yamedhihirishwa na Mthamini Mkuu wa Ardhi ya Mradi huo, Mhandisi Emmanuel Mrema wakati akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ndoto Bandari Mbegani yakamilika

NDOTO ya kuwa na Bandari mpya ya Mbegani kufikia mwaka 2017 na kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa miaka Mitano (2011/12 – 2015/16) imekamilika kwa takriban asilimia 90 kutokana...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BANDARI YA MBEGANI BAGAMOYO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi kutoka Usultani wa Oman Hon.Dr.Ahmed Mohamed Al Furaisi na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya China Merchants Group Dkt. Hu Jianhua wakichanganya kokoto kuzindua rasmi ujenzi wa Bandari ya Mbegani iliyopo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo.Bandari hiyo kubwa inajengwa kwa ubia kati ya serikali ya Tanzania, China na Oman.(Picha na Freddy Maro).

 

5 years ago

Michuzi

DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa amewasihi wafanyabiashara kutumia bandari ya Bagamoyo kuingiza bidhaa zao na kusafirisha bidhaa zinazotoka nje ya Bagamoyo.

Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.

Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...

 

9 years ago

Habarileo

Jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo leo

UJENZI wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani unaojengwa kwa kushirikiana kati ya Tanzania, China na Oman, unazinduliwa leo kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Mwananchi

Waarabu watoa masharti uwekezaji bandari ya Bagamoyo

Maofisa wa eneo huria la uwekezaji la Jafza katika Bandari Jebel Ali ya jijini hapa wamelalamikia urasimu katika maeneo mbalimbali ya uwekezaji Tanzania na kudai kuwa ndiyo yanayokwamisha shughuli nyingi za maendeleo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa bandari, viwanda kuathiri mazingira Bagamoyo

Serikali imetakiwa ianze kujipanga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kabla ya kukamilika kwa ujenzi wa bandari mpya wilayani hapa Mkoa wa Pwani.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO

Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete Alhamis Wiki hii anatarajiwa  kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani.  
Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Dk Florens Turuka, Rais Kikwete ataweka jiwe hilo la msingi kwa ajili ya uzinduzi wa awamu ya kwanza ya mradi; ambayo ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani