Tazama majina ya wagombe ambayo Chadema wameyatangaza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa orodha ya majina 138 ya wanachama walioteuliwa na Kamati Kuu ya chama hicho kugombea ubunge wa majimbo ya uchaguzi.
Orodha ya majina hayo ya wanachama walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo hayo, imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa niaba ya Katibu Mkuu.
Taarifa iliemeleza kuwa majimbo ambayo hayatakuwa kwenye orodha hiyo yatatolewa baada ya kukamilika kwa mashauriano ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-lJXKjg8aa3g/VdQ3G3RF4uI/AAAAAAABUF0/3jUypnbwiP4/s72-c/CHADEMA-LOGO.png)
TAZAMA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA CHADEMA PAMOJA NA MAJIMBO WATAKAYOGOMBEA UBUNGE KUPITIA UKAWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lJXKjg8aa3g/VdQ3G3RF4uI/AAAAAAABUF0/3jUypnbwiP4/s640/CHADEMA-LOGO.png)
Rorya - STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini - ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini - JOHN HECHE
Musoma Vijijini - ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama - YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini - ESTHER BULAYA
Mwibara - HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini - VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini - SULEIMAN DAUDI
SIMIYU
Bariadi - GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi - ABDALA PATEL
Maswa Mashariki - SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa - MASANJA MANANI
Meatu - MESHACK OPULUKWA
Itilima - MARTINE MAGILE
SHINYANGA
Msalala - PAULO MALAIKA
Kahama Mjini - JAMES...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
VIDEO: Tazama ubora wa simu ya Huawei Y360 ambayo gharama yake ni nafuu kabisa
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-8YDh9NTgmr0/Vj5yuljy3bI/AAAAAAAAXEM/N3W0qibnfP0/s72-c/WABUNGE-page-001.jpg)
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-oZV48cuRbek/Vj5rriF3xII/AAAAAAAAXD0/g_1e-QCt9pI/s72-c/KWANZA.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Sauti:Ahadi za wagombe urais Zanzibar
Sikiliza repoti ya Salma Said:
The post Sauti:Ahadi za wagombe urais Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Membe: Nina ndoto ambayo haijatimia
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Greenland; ardhi ambayo Uefa, Fifa wameisaha
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa