Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tazama rekodi ya kipekee waliyoiweka Azama licha ya kukosa ngao ya hisani.

Kipa wa Azam FC, Aishi Manula akiwa amedaka mpira mbele ya Nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam REKODI YA STEWART TANGU AREJEE AZAM Azam FC 4-2 Friends Rangers (Kirafiki Chamazi) Azam FC 1-0 JKT Ruvu (Kirafiki Chamazi) Azam FC 1-0 African Sports (Kirafiki Tanga Azam FC 1-0 Coastal Union (Kirafiki Tanga) Azam FC 1-0 KCCA (Kagame Taifa) Azam FC 2-0 Malakia (Kagame Taifa) Azam FC 5-0 Adama City (Kagame Taifa) Azam FC 0-0 Yanga SC...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

KITABU CHA "GUINNESS WORLD RECORDS" NACHO KINA REKODI YAKE YA KIPEKEE


Kitabu maarufu duniani kinaoandikwa kuhusu matukio mbalimbali ya ajabu na ya kushangaza duniani "Guiness Book of Records" nacho kina rekodi yake ya kipekee. Kitabu hicho kinashikilia rekodi ya kua kitabu kinachoongoza kwa kuibwa mara nyingi zaidi katika library mbalimbali duniani ambazo kitabu hicho kipo. 


Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit...

 

10 years ago

GPL

LULU AZAMA KATIKA MAOMBI

Brighton Masalu STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa sasa yupo ‘bize’ kwenye maombi kwa Mungu, kutokana na kile alichokiita, kutumia muda mwingi kuwa katika ibada za kumcha Mungu. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1N9lx0b

 

9 years ago

TheCitizen

Azam’s Farid to attend trials with Slovenia club

Azam FC’s slippery winger Farid Mussa is expected to leave for Slovenia next month for trials with the European country’s Premier League side, Maribor.

 

10 years ago

GPL

IYANYA AZAMA KATIKA PENZI NA MWIGIZAJI CHIPUKIZI

Iyanya akiwa amepozi na ‘mshikaji’ wake Angel Ufumona. MWANAMUZIKI Iyanya aka ‘Mr Oreo’ wa Nigeria, amekolea katika penzi la muigizaji rembo ambaye ni chipukizi anayeshiriki naye katika maandalizi ya filamu iitwayo ‘Superstar’. Iyanya. Iyanya amejikuta katika ‘mahaba niue’ na mwigizaji, Angel Ufumoma, a nayeshirikiana naye katika filamu inayotarajiwa itainua zaidi fani ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Azama M Bwinza: The Audacity to Rescue 7 people from being drowned in Lake Tanganyika

Azama M Bwinza: The Audacity to Rescue 7 people from being drowned in Lake Tanganyika.

azama1azama

Saturday 11th October 2014 will remain a dark day for the people of Kigoma in general and Kigoma North constituency in particular, especially the villages of Mtanga, Kigalye and Kalalangabo Kagongo ward. Ten people drowned in Lake Tanganyika following the capsizing of twin canoes (mtumbwi wa kipe) with more than 50 people in it.

It was a celebratory day at the offset. There was a wedding ceremony in...

 

9 years ago

GPL

NGAO YA JAMII NI KISASI TU

URUDANI nyingine itakuwepo leo Jumamosi jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo Yanga itacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC kukaribisha msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2015/16. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1NLO9Ng

 

10 years ago

Mwananchi

Coutinho kuikosa Ngao ya Jamii

Kuelekea pambano la Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa Yanga, Andrey Coutinho na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco watakosa mechi hiyo itakayopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani