TBL yakagua fedha zake TFF
Wadhamini wa Taifa Stars, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wameanza ukaguzi wa fedha zao wanazozitoa ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kujiridhisha na matumizi ya fedha hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTBL YAKAGUA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI CHA ZAHANATI YA MAKUBURI KILICHOJENGWA KWA MSAADA WAO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SZo6Ey4n678/U_DFbM-Sx_I/AAAAAAAGARs/iGf960dRBCQ/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI
![](http://4.bp.blogspot.com/-SZo6Ey4n678/U_DFbM-Sx_I/AAAAAAAGARs/iGf960dRBCQ/s1600/images.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6PCBbWo2yNg/VFOsaj9SDsI/AAAAAAAGuZ0/GKCvUcNAifU/s72-c/ndumbaroJPG.jpg)
TFF na Kamati zake hazina mamlaka ya kunifungia - Wakili Ndumbaro
![](http://4.bp.blogspot.com/-6PCBbWo2yNg/VFOsaj9SDsI/AAAAAAAGuZ0/GKCvUcNAifU/s1600/ndumbaroJPG.jpg)
HUKU Dk. Damas Ndumbaro, akiwa amekata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka saba kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi iliyotolewa na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), amesema ataendelea kufanya kazi zake za kuwawakilisha wadau wa soka watakaohitaji huduma yake ya uwakili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Ndumbaro alisema kuwa TFF na Kamati zake hazina mamlaka ya kumfungia kufanya kazi za uwakili isipokuwa Jaji Mkuu wa Tanzania...
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Fifa kuipa fedha TFF
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Quality Group yamwaga fedha TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea msaada wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kutoka kwa Kampuni ya Quality Group Ltd ya Dar es Salaam kwa ajili ya kufanikisha mipango mbalimbali...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Fedha za Fifa kujenga maduka TFF
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Masoko ya fedha, dhamana za serikali na faida zake
ASILIMIA kubwa ya watanzania hawafahamu maana ya masoko ya fedha, soko la dhamana za serikali na faida zake, jambo linalowafanya wengi kuwekeza mamilioni ya fedha kwenye biashara ambazo mwisho wa...
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mykYb_A5mMI/Xr6HuaBDzvI/AAAAAAALqVc/wrTLFOVC4WA5wo0dYyDyoafcK0VaaoD7wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200326_123154-730x375.jpg)
TAKUKURU YAWATAKA VIONGOZI TFF KUREJESHA FEDHA WALIZOZICHUKUA.
Yassir Simba, Michuzi Tv
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFG kuzirejesha fedha walizochukua kabla hatia nyingine hazijafuata.
Hatua hiyo imekuja baada ya TAKUKURU kudai Shirikisho limekuwa na matumizi mabaya ya fedha ikiwemo fedha zilizotolewa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON ya Vijana chini ya Miaka 17 yaliyofanyika mwaka jana hapa nchini.
Akizungumza na vyombo vya...