TBS kukagua viwanda vya mkate
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza kuanza msako dhidi ya viwanda vya mikate ambavyo havipasishwa na shirika hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA , DC MBONI AWAPA USHAURI TBS KUKAGUA UBORA WA VYOMBO VYA USAFIRI
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto) akimfariji mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya basi la Another G na lori iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana ,wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na...
11 years ago
Habarileo07 Feb
NIT, TBS kukagua magari yanayoingia nchini
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kinatarajia kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kukagua magari yanayoingia nchini. Akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mkuu wa Chuo, Dk Zacharia Mganilwa alisema lengo ni kukagua ubora wa magari yanayoingizwa kutoka nchi ambazo hazina wakala wa ukaguzi.
9 years ago
Michuzi
SERENGETI GLOBAL SERVICES LTD WAZEE WA KAZI WAKALA WA TBS KUKAGUA MAGARI YAENDAYO TANZANIA KUTOKA UINGEREZA

PORT OF IMMINGHAM BRANCH:SERENGETI GLOBAL SERVICES LTDUNIT 1 MANBY ROADIMMINGHAMDN40 2LH
PORT OF SHEERNESS BRANCH:SERENGETI GLOBAL SERVICES LTDUNIT 1 RUSHENDEN ROADQUEENSBOROUGHSHEERNESS, KENTME1 5HL
BOOKINGS ...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
11 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri wa Mazingira afanya ziara ya kukagua viwanda mbalimbali jijini Dar leo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO


10 years ago
GPL
VETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA
Mkurugenzi wa Mafunzo ya Ufundi Stadi-VETA Leah Lukindo akizungumza wakati akifungua rasmi warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Giraffe-Dar esSalaam. Washiriki wa warsha hiyo ambao ni wadau wa viwanda vya umeme na magari wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi.…
10 years ago
Michuzi
VETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA) imekutana na wadau wa viwanda vya umeme na magari jijini Dar es Salaam kujadili utekelezaji wa mradi wa mafunzo yanayotolewa na VETA kwa kushirikiana na viwanda ujulikanao kama Dual Apprenticeship Training Project.
Mradi huo uliopo kwenye majaribio tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 kwa ushirikiano kati ya Hamburg Chamber of Skills Craft ya Ujerumani na VETA,unalenga kuandaa idadi kubwa ya mafundi stadi wenye ujuzi zaidi kwa vitendo kwa...
Mradi huo uliopo kwenye majaribio tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 kwa ushirikiano kati ya Hamburg Chamber of Skills Craft ya Ujerumani na VETA,unalenga kuandaa idadi kubwa ya mafundi stadi wenye ujuzi zaidi kwa vitendo kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania