Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TDPC yakamea upotoshaji kuhusu upatikanaji wa mafuta na gesi

Habari na picha na  Frank Shija - Maelezo   Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekanusha taarifa zilizodai kuwa kumegunduliwa Gesi na Mafuta katika maeneo ya Kilosa, Kilombero,Tanga na Maeneo ya Kilimanjaro kwa kudai kuwa taarifa hizo siyo za kweli.   Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo amesema kuwa wananchi wanapaswa kuwa makini na taarifa mbalimbali zinazotolewa kuhusu upatikanaji wa nishati hiyo na kuongeza kuwa hili upatikanaji wa mafuta...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti wa Swala kusaidia upatikanaji wa mafuta, gesi

KAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala imetoa ushahidi mafanikio ya utafiti uliofanyika katika bonde la Kilombero wilayani Kilosa ambapo matokeo hayo yatatasaidia kurahisisha kazi ya uchimbaji visima mwaka 2015....

 

9 years ago

Dewji Blog

EWURA yafafanua kuhusu hali ya upatikanaji wa mafuta kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

ewura2

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta, (EWURA), Bw. Felix Ngamlagosi.

ewura 1.pdf 

ewura 2.pdf 

 

11 years ago

Michuzi

TPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA MKAZI WA MBEYA KWA UPOTOSHAJI KUHUSU CORONA

KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO NA KUPOTOSHA UMMA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOYCE KEPHAS AKYOO @ MANKA [31] Mfanyabiashara na Mkazi wa Stereo Jijini Mbeya kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kuhusu ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu [COVID 19] katika Mtandao wa Kijamii.Mtuhumiwa alikamatwa mnamo tarehe 27.04.2020 majira ya saa 13:30 Mchana baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kufanya msako huko eneo la Stereo lililopo Kata ya Manga, Tarafa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa kutoka Sikika kuhusu upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015

Naomba nifafanue kuhusu propaganda inayoenezwa na maafisa wa TCRA kupitia CloundsFM kuhusu Sikika na Mswada wa ‪#‎CyberCrimeBill‬.
Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.
Sikika haikutoa maoni kuhusu Mswada wa miamala ya kielektoniki kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na pia leo maafisa wa TCRA.
Sikika ilituma maoni ya pamoja ya wadau kwa niaba ya wadau kuhusu #CyberCrimeBill kwa njia ya email...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU upotoshaji unaoendelea juu ya Sarafu ya sh. 500/=

Asilimia 94 ya madini katika sarafu ya sh. 500 ni chuma na asilimia 6 ni Nickel, ameeleza Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki katika Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Marcian Kobello. 
Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014. 
Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika.
“Hakuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani