Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tembo wavamia makazi karibu na Mji wa Dodoma

WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Kawawa, Manispaa ya Dodoma wamekufa baada ya kukanyagwa na tembo wenye hasira jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ndege wa ajabu wavamia makazi Kagera

Ndege wa ajabu wanaosadikiwa kutoa kinyesi chenye sumu kali, wamevamia Kisiwa cha Musira kilichopo Manispaa ya Bukoba na kusababisha vifo vya mifugo na ndege wafugwao, huku ukali wa sumu hiyo ukisababisha kutoboka mabati ya nyumba zilizopo kisiwani humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

'Mji uliojengwa na wanawake': Makazi kwa waliotoroka vita Colombia

Wanawake waliotoroka vita vya wenyewe kwa wenyewe Colombia wamejenga mji wao ili kusaidiana na kutiana moyo

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AZINDUA MPANGO KABAMBE WA MJI MPYA WA KIGAMBONI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano - Mnadani Vijibweni. Wasanii wa kikundi cha Ngoma za kitamaduni wakiburudisha wakati wa Uzinduzi Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni.
Picha ya mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo. Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA UFUNGUZI WA MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA MEDELI WA NHC DODOMA

1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI, DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne...

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya Mji wa Dodoma

Mji wa Dodoma ambao ni makao makuu ya nchi, ni maarufu kwa mambo mbalimbali. Lakini yapo maajabu makubwa mawili ambayo hayazungumzwi miongoni mwa sifa zake.

 

11 years ago

Michuzi

Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi yakutana mjini Dodoma

Mwenyekiti mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikiendesha Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana katika Ukumbi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa { TAMISEMI } Mjini Dodoma. Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao ni Wajumbe wa KamatiI Kuu ya Taifa ya Sensa Tanzania wakiendelea na Kikao chao Mjini Dodoma. Kutoka Kulia ni Waziri wa Habari...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA NDANI YA MJI WA DODOMA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini humo leo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani