Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maajabu ya Mji wa Dodoma

Mji wa Dodoma ambao ni makao makuu ya nchi, ni maarufu kwa mambo mbalimbali. Lakini yapo maajabu makubwa mawili ambayo hayazungumzwi miongoni mwa sifa zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

LOWASSA NDANI YA MJI WA DODOMA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini humo leo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,...

 

11 years ago

Habarileo

Tembo wavamia makazi karibu na Mji wa Dodoma

WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Kawawa, Manispaa ya Dodoma wamekufa baada ya kukanyagwa na tembo wenye hasira jana.

 

5 years ago

CCM Blog

MJI WA SERIKALI DODOMA UTAKAPOKMILIKA UTAGHARIMU ZAIDI YA TRILIONI 10


Eneo: Jiji la Dodoma imetenga eneo la mji wa Serikali ambao upo katika Kata ya Ihumwa kilomita 17 kutoka katikati ya Mji. Eneo hili lina ukubwa wa Hekta 617.15 sawa na Ekari 1,542.88.Mipaka: Mji wa Serikali kwa upande wa  mangaribi unapakana na kambi ya Jeshi ya Ihumwa, Kaskazini-Mashariki unapakana na kata ya Mtumba na upande wa Kusini unapakana na barabara kuu iendayo Dar es salaam.Mgawanyo: Mji wa Serikali umegawanyika katika maeneo tofauti kama ifuatavyo:-Wizara za Serikali, Ofisi za...

 

9 years ago

Press

Dodoma; Nini hasa ni kivutio katika mji huu?

Untitled 0

Si jambo geni mtu kuhisi Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania, hii ni kutokana na miji mikuu mingi kuwa na idadi kubwa ya watu, vivutio vingi, kukua kimaendeleo na uwepo wa ofisi nyingi za kiserikali.

Dodoma ilijipatia umaarufu wake na kutambulika kama mji mkuu mwaka 1973, hivyo ofisi nyingi zilianza kuhamishia makazi yake ndani ya mji huu, ambapo pia Bunge la Tanzania liliweka makazi yake na kusababisha ongezeko la watu wengi na watumishi wa serikali kutoka mikoa mingine kwa kila msimu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Misiba ya vijana Matei na Ogunda yatikisa mji wa Dodoma

Na Deusdedit MoshiMisiba ya vijana wawili, Marehemu Matei John Mmassy, Mfanyabiashara na mmiliki wa Klabu maarufu mjini hapa ya Matei Lounge na Wakili wa kujitegemea na Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha St.John, Marehemu Joseph Joshua Oguda waliofariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ranchi ya mifugo, Narco iliyopo Kongwa mapema wiki hii wakitokea Mjini Morogoro vimetikisa mji wa Dodoma na Viunga vyake. Miili ya marehemu hao imeagwa leo kuanzia mchana katika ibada ya pamoja iliyofanyika katika Uwanja...

 

9 years ago

Press

Dodoma; Nini hasa ni kivutio katika mji huu?

 dodoma 1

  Si jambo geni mtu kuhisi Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania, hii ni kutokana na miji mikuu mingi kuwa na idadi kubwa ya watu, vivutio vingi, kukua kimaendeleo na uwepo wa ofisi nyingi za kiserikali.

Dodoma ilijipatia umaarufu wake na kutambulika kama mji mkuu mwaka 1973, hivyo ofisi nyingi zilianza kuhamishia makazi yake ndani ya mji huu, ambapo pia Bunge la Tanzania liliweka makazi yake na kusababisha ongezeko la watu wengi na watumishi wa serikali kutoka mikoa mingine kwa kila...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha mabasi Dodoma kuwa nje ya mji

WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuhamishia kituo kikuu cha mabasi cha Dodoma nje ya mji, ili kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.

 

10 years ago

Michuzi

MSIBA WA VIJANA WAWILI WATIKISA MJI WA DODOMA KWA SIMANZI

Misiba ya vijana wawili,Matei John Mmassy Mfanyabiashara na mmiliki wa Klabu maarufu mjini Dodoma ya Matei Lounge na Wakili wa kujitegemea na Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha St. John, Joseph Joshua Oguda waliofariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ranchi ya mifugo,Narco iliyopo Kongwa nje kidogo ya mji wa Dodoma mapema wiki hii wakitokea Mjini Morogoro vimetikisa mji wa Dodoma na Viunga vyake.
Miili ya marehemu hao imeagwa leo kuanzia mchana katika ibada ya pamoja iliyo fanyika katika Uwanja wa...

 

5 years ago

Michuzi

Kilomita 39 za Barabara za Lami Zaanza Kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma

Ujenzi wa barabara za lami katika mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma  waanza kwa kasi ili kuimarisha mawasiliano na huduma kwa wananchi.
Akizungumza leo Machi 20, 2020 katika mahojiano maalum, Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshack  Bandawe amesema kuwa ujenzi huo  unahusisha barabara zenye urefu wa kilomita 39 ndani ya mji huo.
 “Serikali inaimarisha miundombinu ndani ya mji wa Serikali ikiwemo ujenzi wa barabara  za njia mbili zenye urefu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani