Tetesi za Soka Ulay aJumatatu 25.5.2020: Coutinho, Aubameyang, Higuain, Jimenez, Dembele
Arsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 May
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 02.05.2020: Jimenez, Werner, Dembele, Henderson, Willian
Mshambuliaji wa Wolves na Mexico Raul Jimenez, mwenye umri wa miaka 28, amesema kuwa itakuwa vigumu kukataa ofa kutoka kwa klabu za Uhispania Real Madrid na Barcelona. (Express)
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.04.2020: Coutinho, Sancho, Werner, Bale, Karius, Jimenez
Kiungo wa Monaco Cesc Fabregas, 32 , amedokeza mpango wa kuhamia LIgi kuu ya Soka Marekani, akisema yeye ni mpenzi wa ligi hiyo.
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 28.04.2020: Pogba, Lingaard, Sancho, Dembele ,Coutinho, Kean
Manchester United wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, na kiungo wa kati wa England Jesse Lingard, 27, kumnunua Sancho. (Sun)
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 27.04.2020: Coutinho, Aubameyang, De Gea, Rakitic, Neymar
Kiungo wa kati wa Barcelona Philippe Coutinho, ambaye yuko kwa mkopo Bayern Munich, aliambiwa na Liverpool kuwa hawana mpango wa kumsajili tena mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil
5 years ago
BBCSwahili19 Mar
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi19.03.2020: Aubameyang, Coutinho, Bellingham, Cazorla, Young
Arsenal wanasaini upya mkataba wa kumpoteza mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang, mwenye umri wa miaka 30, msimu huu na wanataka gharama ya euro milioni 55 (£50.7m) kwa ajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Gabon ambaye anatafutwa Barcelona. (Sport, in Spanish)
5 years ago
BBCSwahili08 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 8.5.2020: Coutinho, Koulibaly, Sancho, Icardi, Aubameyang
Newcastle inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly
5 years ago
BBCSwahili19 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 19.05.2020: Havertz, Higuain ,Martinez, Koulibaly, Silva, Lazaro
Wolves wameongeza mkataba wa mlinda mlango wa kiingereza John Ruddy,33, kwa mwaka mmoja zaidi.
5 years ago
BBCSwahili18 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 18.05.2020: Grealish, Dyche, Zaniolo, McNeil, Jimenez
Kiungo wa kati a Fiorentina Chriastian Koffi, 19 , aliamua kutojiunga na Liverpool mwaka 2018 lakini anasema hakufanya makosa.
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 22.06.2020: Jimenez, Kurzawa, Messi, Koulibaly, Vertonghen
Barcelona wameanzisha mazungumzo juu ya mkataba mpya wa mwaka mmoja kwa ajili ya Muargentina Lionel Messi, anayetimiza umri wa miaka 33 Jumatano wiki hii. (Marca)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania