Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 04.04.2020: Varane, Costa, Bale, Coutinho, Kane
Mabigwa wa Italian Juventus wako tayari kumuuza winga wao raia wa Brazil Douglas Costa, 29, kwa Manchester City kama sehemu ya makubaliano ya kuweza kumsajili Gabriel Jesus, 23. (Calcio Mercato, in Italian)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 20.04.2020: Kane, Bale, Neymar, Lacazette, Dembele, Havertz
Arsenal wameulizia rasmi uwezekano wa kumsajili winga wa Valencia na Uhispania Rodrigo Moreno, 29.
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.04.2020: Coutinho, Sancho, Werner, Bale, Karius, Jimenez
Kiungo wa Monaco Cesc Fabregas, 32 , amedokeza mpango wa kuhamia LIgi kuu ya Soka Marekani, akisema yeye ni mpenzi wa ligi hiyo.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.04.2020: Griezmann, Martinez, Kane, Coutinho, Niguez, Aguero, Haaland
Inter Milan inamtaka mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29, kubadilishana na mshambuliaji Lautaro Martinez ikiwa Barcelona itammyakua kiungo huyo wa Argentina wa miaka 22 kutoka kwao. (La Gazzetta dello Sport, via Marca)
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 11.04.2020: Kondogbia, Coutinho, Coman, Ighalo
Geoffrey Kondogbia, mchezaji wa Valencia anayelengwa na Tottenham huenda akahamia kwengine kwa kiasi cha chini kuliko anacholipwa sasa, ikiwa klabu yake ya Uhispania itashindwa kuingia katika ligi ya Champions msimu ujao.
5 years ago
BBCSwahili23 May
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 23.05.2020: Coutinho, Willian, Haaland, Sancho, Pochettino, Kavertz
Baada ya kutaka kurejea ligi ya Primia sasa Philippe Coutinho wa Kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil anamezewa mate na timu kadhaa
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 18.03.2020: Bale, Mahrez, Martinez, Trippier, Mkhitaryan
Real Madrid wanapanga mikakati itakayomuwezesha mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale, 30, kuondoka kwa uhamisho bila malipo. (Marca)
5 years ago
BBCSwahili01 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 01.04.2020: De Ligt, Pogba, Sanchez, Bale and Ramsey
Manchester United wanajiandaa kutangaza dau la kumnunua beki wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt
5 years ago
BBCSwahili29 May
Tetetsi za Soka Ulaya Ijumaa 29.05.2020: Lallana, Coutinho, Bale, Fraser, Sidibe, Ighalo, Sancho
Leicester wamempatia kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana, ofa ya mkataba wa kudumu. Mkataba wa kiungo huyo wa kimataifa wa England, Anfield unakamilika mwisho wa mwezi Juni. (Football Insider)
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Tetesi za soka Ulaya 12.03.2020: Kane, Sancho, Ramsdale, Sabitzer, Willian, Militao
Manchester City na Manchester United itashindana na Tottenham katika kumwania mshambuliji Harry Kane, 26, kwa dau la £150m mwisho wa msimu huu (90min)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania