Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI 16.05.2020


Erling Braut HaalandReal Madrid bado wana nia ya kumnunua Erling Braut Haaland na watamfuatilia mshambuliaji huyo wa miaka 19- leo Jumamosi wakati Borussia Dortmund watarejea uwanjani katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga. (Mundo Deportivo - in Spanish)Chelsea wako tayari kuwauza baadhi ya wachezaji wake katika kikosi cha kwanza ili kufadhili kiungo wa kujiimarisha msimu huu lakini hawana nia ya kupokea ofa ya kuwauza wachezaji N'Golo Kante, 29, na Jorginho, 28. (ESPN)JesusGabriel JesusHaki miliki ya pichaREUTERSManchester...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 11.04.2020: Kondogbia, Coutinho, Coman, Ighalo

Geoffrey Kondogbia, mchezaji wa Valencia anayelengwa na Tottenham huenda akahamia kwengine kwa kiasi cha chini kuliko anacholipwa sasa, ikiwa klabu yake ya Uhispania itashindwa kuingia katika ligi ya Champions msimu ujao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 18.04.2020: Mane, Neymar, Pogba, Buffon

Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane huenda akahamia Real Madrid, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa Senegal Keita Balde.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 02.05.2020: Jimenez, Werner, Dembele, Henderson, Willian

Mshambuliaji wa Wolves na Mexico Raul Jimenez, mwenye umri wa miaka 28, amesema kuwa itakuwa vigumu kukataa ofa kutoka kwa klabu za Uhispania Real Madrid na Barcelona. (Express)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 28.03.2020: Neuer, Stones, Bonucci, Sancho, Godin

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, anafaa kuchukua fursa na kujiunga na Manchester United, kulingana na mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo Dimitar Berbatov. (Sun)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 04.04.2020: Varane, Costa, Bale, Coutinho, Kane

Mabigwa wa Italian Juventus wako tayari kumuuza winga wao raia wa Brazil Douglas Costa, 29, kwa Manchester City kama sehemu ya makubaliano ya kuweza kumsajili Gabriel Jesus, 23. (Calcio Mercato, in Italian)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 25.04.2020: Aubameyang, Giroud, Osimhen, Ndombele, Werner, Ruiz

Chelsea wanafuatilia kwa karibu hali ya Pierre-Emerick Aubameyang katika Arsenal wakiwa na matumaini ya kumchukua mshambuliaji huyo wa miaka 30 raia wa Gabon msimu huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 23.05.2020: Coutinho, Willian, Haaland, Sancho, Pochettino, Kavertz

Baada ya kutaka kurejea ligi ya Primia sasa Philippe Coutinho wa Kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil anamezewa mate na timu kadhaa

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 13.02.2020: Ramsey, Fati, Chilwell, Soares, Schneiderlin, Havertz

Juventus iko tayari kumuuza Aaron Ramsey mwaka mmoja baada ya kumnunua kutoka Arsenal katika juhudi za kuokoa marupurupu ya £400,000

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 29.02.2020: Arrizabalaga, Chiesa, Ozil, Grealish, Lusamba, Werner

Mlinda lango wa Uhispania Kepa Arrizabalaga, 25, anamejitayarisha kuondoka Chelsea msimu huu baada ya kukosa nafasi kwenye timu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani