Tetesi za soka Ulaya Jumapili 17.05.2020:Mbappe, Pogba, Rabiot, Mane, Dennis, Bogarde
Juventus inakaribia kuafikia makubaliano ya kumsaini Paul Pogba,27 kutoka klabu ya Manchester United.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili24 May
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 24.05.2020: Pogba, Sancho, Aguero, Willian, Koulibaly, Rabiot
Wakala wa Paul Pogba Mino Raiola ameanza mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho, lakini Real Madrid na Paris St-Germain pia wanamtolea macho kiungo huyo wa Machester United
5 years ago
BBCSwahili26 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 26.04.2020 :Aubameyang, Pogba, Sancho, Neymar, Mbappe
Rais wa Real Madrid Florentino Perez bado ana ndoto ya kufikia makubaliano ya kumsaini mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar.
5 years ago
BBCSwahili16 Feb
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 16.02.2020: Pogba, Rabiot, Ramsey, Pierre-Emerick Aubameyang, Werner, Tierney
Juventus inapanga kuwatoa Aaron Ramsey na Adrien Rabiot kwa Manchester United kujaribu kumrejesha mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba
5 years ago
BBCSwahili18 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 18.04.2020: Mane, Neymar, Pogba, Buffon
Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane huenda akahamia Real Madrid, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa Senegal Keita Balde.
5 years ago
BBCSwahili06 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 6.5.2020: Pogba, Ramsey, Fernandes, Pepe, Mbappe, Willian, Chiesa
Manchester Unitedinafikiria kumsajili kiungo wa kati wa Juventus na Wales Aaron Ramsey, 29, kama sehemu ya makubaliano ya mabadilishano na mchezaji wa Ufaransa Paul Pogba, 27. (Express)
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 28.06.2020: Sancho, Kepa, Havertz, Ronaldinho, Koulibaly, Rabiot
Borussia Dortmund wanaamini winga wao Muingereza Jadon Sancho atasalia katika klabu hiyo, kwani hawajapokea ombi lolote la kutaka kumnunua mchezaji huyo. (Sport Buzzer, via Goal).
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 25.03.2020: Mane, Sterling, Thiaw, Pogba, Haaland, Cucurella
Winga wa Manchester City na England Raheem Sterling, 25, bado ana mapenzi na Liverpool licha ya kuondoka klabuni hapo kwa mazingira ya chuki.
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 07.06.2020: Traore, Havertz, Van de Beek, Werner, Rabiot, Chilwell
Liverpool wameulizia kuhusu winga wa Uhispania na Wolves Adama Traore, 24.
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 15.03.2020: Euro 2020, Mahrez, Aubameyang, Bailey, Kondogbia, Neymar, Mane
Huenda Uefa ikaahirisha Euro 2020 hadi Desemba ili kutoa fursa kwa Ligi ya Premier na mashindano mengine ya vilabu kumalizika baada ya kutokea kwa janga la Corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania