Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tetesi za soka Ulaya Jumapili 15.03.2020: Euro 2020, Mahrez, Aubameyang, Bailey, Kondogbia, Neymar, Mane

Huenda Uefa ikaahirisha Euro 2020 hadi Desemba ili kutoa fursa kwa Ligi ya Premier na mashindano mengine ya vilabu kumalizika baada ya kutokea kwa janga la Corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 21.06.2020:Jimenez, Mane, Walker, Cavani, Bailey, Fati, Henderson

Juventus imeingia kwenye kinyang'anyiro sambamba na Manchaster United na Real Madrid wakitaka kupata saini ya mshambuliaji wa Mexico anayekipiga Wolves ,Raul Jimenez,29.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 26.04.2020 :Aubameyang, Pogba, Sancho, Neymar, Mbappe

Rais wa Real Madrid Florentino Perez bado ana ndoto ya kufikia makubaliano ya kumsaini mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 18.04.2020: Mane, Neymar, Pogba, Buffon

Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane huenda akahamia Real Madrid, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa Senegal Keita Balde.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 30.03.2020:Aubameyang, Haaland, Mane, Mkhitaryan, Xavi, Heaton

Real Madrid wanataka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal raia wa Gabon Emerick Aubameyang endapo watashindwa kumpata Erling Braut Haaland.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 27.04.2020: Coutinho, Aubameyang, De Gea, Rakitic, Neymar

Kiungo wa kati wa Barcelona Philippe Coutinho, ambaye yuko kwa mkopo Bayern Munich, aliambiwa na Liverpool kuwa hawana mpango wa kumsajili tena mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 23.02.2020: Bellingham, Aubameyang, Martial, Werner, Ruiz

Liverpool yatafuta kumsajili mshambuliaji Jude Bellingham ambaye pia amehusishwa na kuhamia Manchester United.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 17.05.2020:Mbappe, Pogba, Rabiot, Mane, Dennis, Bogarde

Juventus inakaribia kuafikia makubaliano ya kumsaini Paul Pogba,27 kutoka klabu ya Manchester United.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 01.03.2020: Ronaldo, Aubameyang, Grealish, Haaland, David, Shaqiri

Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal ananyemelewa na Barcelona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 16.02.2020: Pogba, Rabiot, Ramsey, Pierre-Emerick Aubameyang, Werner, Tierney

Juventus inapanga kuwatoa Aaron Ramsey na Adrien Rabiot kwa Manchester United kujaribu kumrejesha mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani