Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 19.02.2020: Pogba, Raiola, Gnabry, Sane, Rangnick

Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba anatarajiwa kuondoka Manchester United msimu huu lakini klabu hiyo inataka zaidi ya £150m kumuachilia mchezaji huyo wa miaka 26. (ESPN)

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 20.05.2020: Sane, Haaland, Traore, Diaby, Mbuyamba

Chelsea wanaongoza katika mbio za usajili wa beki wa kati wa kiholanzi Xavier Mbuyamba, 18, kutoka Barcelona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 01.04.2020: De Ligt, Pogba, Sanchez, Bale and Ramsey

Manchester United wanajiandaa kutangaza dau la kumnunua beki wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 25.03.2020: Mane, Sterling, Thiaw, Pogba, Haaland, Cucurella

Winga wa Manchester City na England Raheem Sterling, 25, bado ana mapenzi na Liverpool licha ya kuondoka klabuni hapo kwa mazingira ya chuki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 03.06.2020: Chilwell, Pogba, Almada, Sancho, Lacazette

Chelsea wamemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell,23, katika mpango wao wa uhamisho lakini inaweza kuwagharimu mpaka kiasi cha pauni milioni 85 kumnasa mchezaji huyo. (Athletic)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 13.05.2020: Bale, Ndombele, Sancho, Ighalo, Pogba, Messi

Newcastle wako tayari kutumia £53m kumpata mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale, 30, mpango ambao ukifanikiwa utamrejesha ntota huyo katika ligi kuu ya England msimu huu

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 29.04.2020: Pogba, Aubameyang, Ozil, Rice, Van de Beek, Rodriguez

Manchester United huenda wakalazimika kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, kwa bei ya kutupa kutokana na athari za janga la corona. (Goal)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 6.5.2020: Pogba, Ramsey, Fernandes, Pepe, Mbappe, Willian, Chiesa

Manchester Unitedinafikiria kumsajili kiungo wa kati wa Juventus na Wales Aaron Ramsey, 29, kama sehemu ya makubaliano ya mabadilishano na mchezaji wa Ufaransa Paul Pogba, 27. (Express)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 16.04.2020: Sane, Giroud, Havertz, Rojo, Lallana

Winga wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Leroy Sane anakaribia kuhamia Bayern Munich kwa kiasi cha £70m.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 21.05.2020: Sane, Victor Moses, Jorginho, Ighalo, Neymar

Wakala wa Jorginho, 28, amesisitiza kuwa kiungo wa Italia ana furaha katika kikosi cha Chelsea na kuda kuwa Juventus

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani