Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 20.05.2020: Sane, Haaland, Traore, Diaby, Mbuyamba
Chelsea wanaongoza katika mbio za usajili wa beki wa kati wa kiholanzi Xavier Mbuyamba, 18, kutoka Barcelona.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 19.02.2020: Pogba, Raiola, Gnabry, Sane, Rangnick
Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba anatarajiwa kuondoka Manchester United msimu huu lakini klabu hiyo inataka zaidi ya £150m kumuachilia mchezaji huyo wa miaka 26. (ESPN)
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 25.03.2020: Mane, Sterling, Thiaw, Pogba, Haaland, Cucurella
Winga wa Manchester City na England Raheem Sterling, 25, bado ana mapenzi na Liverpool licha ya kuondoka klabuni hapo kwa mazingira ya chuki.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.04.2020: Griezmann, Martinez, Kane, Coutinho, Niguez, Aguero, Haaland
Inter Milan inamtaka mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29, kubadilishana na mshambuliaji Lautaro Martinez ikiwa Barcelona itammyakua kiungo huyo wa Argentina wa miaka 22 kutoka kwao. (La Gazzetta dello Sport, via Marca)
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 16.04.2020: Sane, Giroud, Havertz, Rojo, Lallana
Winga wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Leroy Sane anakaribia kuhamia Bayern Munich kwa kiasi cha £70m.
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 27.03.2020: Haaland, Ighalo, Pogba, Pedro, Gabriel
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo mwenye miaka 30, amepewa ofa ya kuongezewa mkataba wa miaka miwili na timu yake ya China Shanghai Shenhua huku mshahara ukipanda mpaka paundi 400,000 kwa wiki.
5 years ago
BBCSwahili22 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 22.05.2020: Umtiti, Koulibaly, Pjanic, Haaland, Rabiot
Barcelona wamepunguza bei ya kumuuza beki wao wa kati Samuel Umtiti wakati huu ambapo klabu za Manchester United na Arsenal zinamnyatia mchezaji huyo. (Sport - in Spanish)
5 years ago
BBCSwahili14 May
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 14.05.2020: Werner, Sane, Dembele, Bakayoko, Bellingham, Havertz
Bayern Munich wanatafakari kuwasilisha ofa ya zaidi ya £50m kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane
5 years ago
BBCSwahili16 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 16.05.2020: Jesus, Sane, Kroos, Weghorst, Vinicius, Torreira
Real Madrid bado wana nia ya kumnunua Erling Braut Haaland na watamfuatilia mshambuliaji huyo wa miaka 19- leo Jumamosi wakati Borussia Dortmund watarejea uwanjani katika ligi kuu ya Ujerumani.
5 years ago
BBCSwahili21 May
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 21.05.2020: Sane, Victor Moses, Jorginho, Ighalo, Neymar
Wakala wa Jorginho, 28, amesisitiza kuwa kiungo wa Italia ana furaha katika kikosi cha Chelsea na kuda kuwa Juventus
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania