Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 22.05.2020: Umtiti, Koulibaly, Pjanic, Haaland, Rabiot
Barcelona wamepunguza bei ya kumuuza beki wao wa kati Samuel Umtiti wakati huu ambapo klabu za Manchester United na Arsenal zinamnyatia mchezaji huyo. (Sport - in Spanish)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili09 May
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi tarehe 09.05.2020 : Victor ,Savic, Pjanic, Eriksen, Umtiti
Mashaka juu ya uwezo wa Victor Lindelof yamesababisha Manchester United kuwa na nia ya kujiimarisha katika safu ya ulinzi wa kati. (ESPN)
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 08.06.2020:Chilwell, Koulibaly, Martinez, Pjanic, Zaniolo, Rakitic
Manchester United na Real Madrid wanachunguza hali ya mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, 22 baada ya mazungumzo ya kuhamia Barcelona kugonga mwamba. (Marca via Mirror)
5 years ago
BBCSwahili24 May
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 24.05.2020: Pogba, Sancho, Aguero, Willian, Koulibaly, Rabiot
Wakala wa Paul Pogba Mino Raiola ameanza mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho, lakini Real Madrid na Paris St-Germain pia wanamtolea macho kiungo huyo wa Machester United
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 28.06.2020: Sancho, Kepa, Havertz, Ronaldinho, Koulibaly, Rabiot
Borussia Dortmund wanaamini winga wao Muingereza Jadon Sancho atasalia katika klabu hiyo, kwani hawajapokea ombi lolote la kutaka kumnunua mchezaji huyo. (Sport Buzzer, via Goal).
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 26.06.2020: Arthur, Pjanic, Pedro, Bellingham, Willian
Kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil Arthur, 23, anakaribia kukubali uhamisho wa kima cha euro 72.5 milioni kuelekea Juventus
5 years ago
BBCSwahili08 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 8.5.2020: Coutinho, Koulibaly, Sancho, Icardi, Aubameyang
Newcastle inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 27.03.2020: Haaland, Ighalo, Pogba, Pedro, Gabriel
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo mwenye miaka 30, amepewa ofa ya kuongezewa mkataba wa miaka miwili na timu yake ya China Shanghai Shenhua huku mshahara ukipanda mpaka paundi 400,000 kwa wiki.
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 17.03.2020: Mahrez, Umtiti, Dembele, Telles, Martinez
Manchester City itazuia uhamisho wa winga wa Algeria Riyad Mahrez, 29, wa kujiunga na Paris St-Germain msimu wa joto. (Goal)
5 years ago
BBCSwahili17 May
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 17.05.2020:Mbappe, Pogba, Rabiot, Mane, Dennis, Bogarde
Juventus inakaribia kuafikia makubaliano ya kumsaini Paul Pogba,27 kutoka klabu ya Manchester United.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania