The Avenue ikizungumza na Emelda Mwamanga
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
TASAF haina dini wala siasa-Mwamanga
NA SOPHIA WAKATI,TANGA
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF),Ladislaus Mwamanga, ameitaka jamii kuelewa kuwa chombo hicho ni cha serikali na hakina mwingiliano wa dini, wala itikadi yoyote ya kisiasa.
Alisema lengo la TASAF ni kuonyesha uwajibikaji na kuwezesha wananchi wote kuwa na maisha bora.
Mwamanga aliyasema hayo jana, mkoani hapa, alipokuwa akizindua kikao kilichojumuisha waandishi, waratibu, wahasibu na maofisa wanaofuatilia shughuli za mfuko huo.
Alisema serikali...
11 years ago
Michuzi22 Apr
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi18 Mar
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania