Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RED AVENUE PARTY RELOADED DESEMBA 26, 2015

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Black &White Bash 55th Birthday party ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24

Na Andrew ChaleWABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...

 

11 years ago

Michuzi

AFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA SANA JIJINI DAR

DSC_0549
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania.

Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ usiku wa Jumamosi Februari 22, lilikuwa la aina yake kwa kuvutia watu mbali mbali ndani ya...

 

11 years ago

Michuzi

AFTER PARTY YA LADY IN RED ILIKUWA BALAA WIKIENDI ILiyOPITA NYUMBANI LOUNGE

DSC_0549 Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau wa tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam Jumamozi ilopita.
Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’...

 

10 years ago

Dewji Blog

RED CUP Party Zanzibar ndani ya Palm Beach Bwejuu Feb 28

RCP

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Ile party ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kubwa na watu mbalimbali wa  ndani na nje ya Zanzibar  Maarufu kama ‘RED CUP Party’  kufanyika Februari 28 ndani ya Hoteli ya Palm Beach iliyopo Bwejuu, Unguja.

Akielezea mwandaaji wa shoo hiyo ya kijanja, Djzoro ON Mix Man amesema tayari mipango yote imekamilika na tiketi zimeanza kuuzwa kwa sasa.

“Party ya kijanja ya RED CUP Party,  kwa sasa ni gumzo na tiketi zimeshaanza kuuzwa. Kwa kiingilio cha sh 10,000/= kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Afro Urban Night in Berkshire,New-Years Eve Red Carpet Party

The Biggest Afro Urban Night in Berkshire,New-Years Eve Red Carpet Party in Style..!on Wed 31st Dec jumpoff 2015 No work on Thursday@ Riley's Sports Bar rg1 8nq featuring The Finest Deejays on Rotation Dj Deejay Collo /Dj Richie Dee /Dj Say Camara / D.j. Gich time 10pm till 4am Damage £10 all Night.!! Attractions on the night: -FREE SHOTS AT THE ENTRANCE BEFORE MIDNIGHT & BOTTLE OF WINE for best dressed Lady + Gent..For Birthdays & VIP Bookings HOT LINE: 07853482158 / 07446135676 /...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani