The Game kuwatumia Dr. Dre, Kanye West na Timbaland kutayarisha ‘The Documentary 2’
The Game atawatumia watayarishaji nguli kutengeneza album yake mpya, The Documentary 2. Watayarishaji hao ni pamoja na Dr. Dre, Kanye West na Timbaland. Akiongea na Power 105, rapper huyo wa Compton alisema kuwa album hiyo imekamilika kwa asilimia 90 na anachosubiria ni Dr. Dre kurejea kutoka mapumzikoni ili kumalizia final touches. Amefanya kazi na maproducer […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo501 Oct
Music: The Game Ft. Kanye West — Mula
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
9 years ago
Bongo503 Oct
Music: The Game Feat. Ice Cube, Dr. Dre, & will.i.am – Don’t Trip
9 years ago
Bongo520 Oct
Music: Kanye West — When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Kanye West aomba Msamaha
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVUmkSPKUd140T3EDRwyMw0tXzmVOa*fafNGSi8Se*Lzm27nlU45Aq3G1dXHiohZ9xCzf9-GfD9bII3d5MS2TMhF/HARUSI20.jpg?width=650)
HARUSI YA KANYE WEST KUFURU
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Kanye West akumbuka dola milioni 20
CALIFORNIA, Marekani
NYOTA wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, amekumbuka namna alivyotumia dola milioni 20 kwa ajili ya kurekebisha nyumba yao iliyopo California, nchini Marekani.
Eneo la nyumba yao lina ukubwa wa eka 3.5, ambapo Agosti mwaka jana nyumba hiyo ilionekana kuwa na matatizo madogo madogo.
Kanye amesema marekebisho hayo yameifanya nyumba hiyo kuwa na mwonekano mpya wa nyumba za kisasa, ambapo wanaamini mtoto wao, Nori atakuwa sehemu salama zaidi.
“Tumeona bora tubadilishe...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Kanye West kumzawadia mwanaye wimbo
BAADA ya Kanye West na mke wake Kim Kardashian, kufanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye amepewa jina la Saint West, msanii ameamua kuumiza kichwa kwa ajili ya kumpa zawadi ya wimbo mtoto huyo.
Kwa sasa mtoto huyo amekuwa akitajwa sana katika mitandao ya kijamii kutokana na umaarufu wa baba na mama yake, lakini Kanye West amesema anatarajia kuachia wimbo mkali ambao utakuwa ni zawadi kwa mtoto huyo.
“Mungu ametupatia zawaidi ya mtoto mwingine, lakini na mimi ninataka kumpa zawadi ya wimbo...
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Watoto wa 50 Cent, Kanye West wapenzi?
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa hip hop nchini Marekani, Curtis Jackson ‘50 Cent’ amemtaka msanii mwenzake, Kanye West, aondoe wasiwasi juu ya urafiki wa watoto wao.
50 Cent ana mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu, huku mtoto wa Kanye West akiwa na miaka miwili na sasa majina ya watoto hao yameanza kuwa na nafasi kubwa katika mitandao ya kijamii.
50 Cent kupitia akaunti yake ya Twitter aliandika kwamba mtoto wake, Sire ana sura zuri, huku akimtaka Kanye West asiwe na wasiwasi mwanawe...