Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Headies: Don Jazzy na Olamide ndani ya beef kali (Video)

Don Jazzy

Don Jazzy na Olamide wametengeneza headlines kwenye tuzo za Headies 2015 nchini Nigeria.

Drama ilianza baada ya Reekado Banks, aliye chini ya Mavin Records ya Don Jazzy kumshinda msanii aliye lebo moja na Olamide, Lil Kesh na kushinda tuzo ya ‘The Next Rated Award.’

Alipopanda jukwaani Olamide aliamua kufunguka ya moyoni akiwa na crew nzima YBNL baada ya msanii wake Adekunle Gold kushinda tuzo ya Best Alternative.

“This award belongs to Lil Kesh. Lil Kesh is our own Next Rated artist. F**k...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Aliko Dangote alivyomaliza ugomvi wa Don Jazzy na Olamide

imageOlamide  akipeana mkono na Don Jazzy.

DURU za muziki hivi sasa zinafahamu kwamba bifu lililokuwepo kati ya wasanii, Olamide na Don Jazzy, wote wa Nigeria, ambalo lilianzia katika tamasha la utoaji tuzo la Headies Award, ambapo mshindi wa jumla hujinyakulia gari, hivi sasa limemalizika.

Ugomvi huo uliokuwa wa maneno, ulikolezwa na kituo cha televisheni cha Live International na kusambaa hadi kwenye mtandao wa Twitter.
Hata hivyo, swali kubwa ambalo mashabiki walikuwa wakijiuliza ni kwamba:...

 

9 years ago

Global Publishers

Olamide na Don Jazzy wamaliza bifu lao kimyakimya

donDon Jazzy na Olamide wakipeana mikono.

HABARI ya ‘mujini’ mwaka huu kwa wapenda muziki nchini Nigeria na kwengineko duniani ni kumalizika kwa bifu la muda mrefu kati ya maprodyuza  wakubwa,  Olamide na Don Jazzy.  Baada ya wawili hao kutokea katika picha wakiwa wameshikana mikono, mashabiki wamebaki kujiuliza ni wapi walipolimalizia ugomvi wao wa muda mrefu?.

Katika picha hiyo kulikuwa na maandishi yaliyowaomba msamaha mashabiki wao kwa bifu lililokuwepo na kwamba wajibu wao ni kuongoza...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: P-Square ft. Don Jazzy — Collabo

Mapacha wa P-Square wametoa video ya wimbo wao ‘Collabo’ waliyomshirikisha Don Jazzy. Video imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Clarence Peters na Jude Okoye.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Timaya Feat. Don Jazzy — I Concur

Video mpya ya msanii Timaya Kutoka Nigeria hapa amemshirikisha Don Jazzy wimbo unaitwa “I Concur” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Video: D’Prince Feat. Don Jazzy — Oga Titus

Msanii D’Prince kutoka Nigeria ameachia Video mpya ya wimbo unaitwa “Oga Titus” amemshirikisha Don Jazzy. Video imeongozwa na director Mex na kuandaliwa na Don Jazzy. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tiwa Savage Ft Don Jazzy – African Waist

vage2

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameachia video mpya wimbo unaitwa “African Waist” amemshirikisha Don Jazzy hii ni single ambayo inapatikana katika Album yake mpya ya “RED” ipo mtaani tayari.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: D’Prince Ft Don Jazzy , Baby Fresh – Bestie

d-prince

Video mpya ya msanii wa Marvins Records D’Prince amemshirikisha Don Jazzy na Baby Fresh wimbo unaitwa “Bestie”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani