Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Refix: Chege — Uswazi Take Away (Ptod Lamar)

Producer Lamar anaendelea na Project yake ya kuzirudia nyimbo za Bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance hii Version ya wimbo wa “Uswazi Take Away” kutoka kwa Chege

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Music: Barnaba f/ Lamar — Sorry (The Refix)

Lamar ameachia muendeleo wa nyimbo za mradi wake The Refix. Awamu hii ni wimbo wa Barnaba, Sorry. Usikilize hapa.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Lamar f/ Recho — Replay (Refix)

Refix nyingine kutoka kwa Lamar ya wimbo wa Recho ‘Replay’.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Kassim ft Lamar — I love u Refix

Hii ni ngoma mpya ya Kassim Mganga kutoka katika project inayoendelea ya Producer Lamar ya kuzirudia nyimbo za Bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance/electro wimbo unaitwa “I love u The Refix”

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Shilole f/ Lamar — Nakomaa na Jiji (Refix)

Sikiliza Refix nyingine kutoka kwa Lamar hapa akiwa ameifanyia kazi ngoma ya Shilole, Nakomaa na Jiji.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Lamar akiongelea mradi mpya wa Refix na muziki wa Tanzania

Tumezungumza na Lamar kuhusu mradi wake mpya wa Refix, mabadiliko ya muziki wa Tanzania, biashara kwenye kiwanda hicho na mambo mengine. Tazama interview hiyo hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa nyumba Uswazi

Mshambuliaji  wa Yanga SC, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Mwandishi Wetu
WACHEZAJI wawili wa Yanga, raia wa Brazil, wameushangaza uongozi wa klabu hiyo baada ya kusema wanataka kuishi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kiungo Andrey Coutinho na mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’, wameuambia uongozi wa Yanga wasingependa kuishi sehemu ambazo zinajumuisha matajiri au zinazoonekana za...

 

11 years ago

Mwananchi

Francis Miyeyusho: Uswazi kunaharibu wanamichezo

Kutokana na mchezo wa ngumi kuonekana kuwa mgumu na kuhitaji watu wakakamavu, wenye nguvu na uvumilivu, asilimia kubwa ya wachezaji wake wamekuwa wakitokea maeneo ya uswahilini ‘uswazi’.

 

10 years ago

GPL

USIKU WA USWAZI NA WASWAZI NI NOMAAA DAR LIVE

Kundi la Umeme wakifanya yao stejini. Kala Pina akikumbushia ngoma za kitambo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani