Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Francis Miyeyusho: Uswazi kunaharibu wanamichezo

Kutokana na mchezo wa ngumi kuonekana kuwa mgumu na kuhitaji watu wakakamavu, wenye nguvu na uvumilivu, asilimia kubwa ya wachezaji wake wamekuwa wakitokea maeneo ya uswahilini ‘uswazi’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Francis Miyeyusho ‘Chichimawe’

Mchezo wa ngumi ni miongoni mwa michezo iliyovuna idadi kubwa ya mashabiki ambao mara nyingi wamekuwa wakifurika katika kumbi mbalimbali nchini kushuhudia mabondia wanavyotupiana makonde klwa umahiri wa hali ya juu.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Bongo5

The Refix: Chege — Uswazi Take Away (Ptod Lamar)

Producer Lamar anaendelea na Project yake ya kuzirudia nyimbo za Bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance hii Version ya wimbo wa “Uswazi Take Away” kutoka kwa Chege

 

11 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa nyumba Uswazi

Mshambuliaji  wa Yanga SC, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Mwandishi Wetu
WACHEZAJI wawili wa Yanga, raia wa Brazil, wameushangaza uongozi wa klabu hiyo baada ya kusema wanataka kuishi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kiungo Andrey Coutinho na mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’, wameuambia uongozi wa Yanga wasingependa kuishi sehemu ambazo zinajumuisha matajiri au zinazoonekana za...

 

10 years ago

GPL

USIKU WA USWAZI NA WASWAZI NI NOMAAA DAR LIVE

Kundi la Umeme wakifanya yao stejini. Kala Pina akikumbushia ngoma za kitambo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ayayushwa

Pambano la bondia Francis Miyeyusho na Ronald  Pontillas wa Ufilipino lililokuwa lifanyike leo limeahirishwa hadi Aprili 12, kutokana na sababu ambazo ziko juu ya uwezo wa waandaaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ‘ayeyushwa’

>Serikali imelifuta rasmi pambano la ngumi la ubingwa wa dunia kati ya Francis Miyeyusho na Victor Chernous kutoka Ukraine.

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho kumvaa Mfilipino

Bondia Francis Miyeyusho amebadilishiwa mpinzani na sasa atazichapa na Ronald Pontillas wa Philippines badala ya Viktor Chernous wa Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani