Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINA SANGA

Msanii Lina akitoa zawadi kwa mkurugenzi wa Tanzania House of Talent(THT)Ruge Mutahaba katika hafla ya kumuaga msanii huyo kutoka chini ya THT na kuelekea kampuni ya No Fake Zone(NFZ)ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo iliyofanyika jana katika ofisi za THT,jijini Dar.Mkurugenzi wa THT akzungumza kwenye hafla hiyo ya kumuaga msanii Lina.Mkurugenzi wa THT,Rufe Mutahaba akitoa cheti cha Ustadi wa kazi kwa msanii Mwasiti ambaye ameitambulisha vyema taasisi hiyo tangu ilivyoanza.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINAH,AZINDUA VIDEO MPYA MBELE YA MASUPASTAA KIBAO JIJINI DAR

  Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (THT) Ruge Mutahaba akifafanua jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo  wanahabari,wadau na wasanii wa filamu na muziki,katika hafla ya kumuaga msanii Linah jana Julai 16, 2014 kutoka kwao na kuelekea kampuni ya No Fake Zone (NFZ) ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo pamoja na kazi zake.Linah pia alizindua video yake mpya chini ya kampuni NFZ iitwayo OLe Themba.MKurugenzi wa Kampuni ya NO FAKE ZONE,Abby akizungumza jambo mbele ...

 

11 years ago

GPL

LINA SANGA MWANZA

Balozi wa wanawake mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga (katikati) akiwa na warembo wa…

 

10 years ago

GPL

MSANII MANAIKI SANGA ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO

Manaiki Sanga 'The Don' akisalimiana na Clarence Mulisa, Mkuu wa Kitengo cha  Teknolojia na Habari, Global Publishers. Manaiki Sanga akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota alipowasili kwa ajili ya mahojiano na Global TV Online leo.…

 

9 years ago

Mwananchi

Makomandoo watia fora hafla ya kumuaga JK

Makomandoo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jana walikuwa kivutio katika hafla ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA FUTARI KWA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Matawi wa Benki ya Exim, Bi Elizabeth Mayengo (wa pili kulia) na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Bi. Violet Bikoche (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Baadhi ya wateja wa Benki ya Exim wakishiriki futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam  hivi karibuni.Mkuu wa Matawi wa Benki ya Exim, Bi Elizabeth...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA WATEJA WAKE MTWARA

 Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Tanzania Bw. George Shumbusho (Kushoto) pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya STE BPS (COTE DIVOIRE) S.A LTD Bw. Vijayan Vetharethinam kwa pamoja wakifungua shampeni wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya wateja wake Mkoani Mtwara hivi karibuni.Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Tanzania Bw. George Shumbusho (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na  Bw. Anoop Kumar  pamoja na  Bw  Prasoon kutoka kampuni ya Regal Holdings...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA YAFANA SANA JIJINI DAR

1Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi na wafanyakazi wastaafu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki , Mzee Emannuel Humba aliwaasa wafanyakazi wa mfuko huo kushikamana na kufanya kazi kwa kujituma ili kuhakikisha mfuko huo unafikia malengo, Katika hafla hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani