LINA SANGA MWANZA
![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjblqKK9lXHLZqFPd*tp*ZZr6M*5dmbpEgMRhF4ORc9fXAwvzWsGdpuXjCJ*rrRq13ZaZ5KGCfHrwCN257flC0Eso/BaloziwawanawakemwanamuzikiwamuzikiwakizazikipyaLinahSangakatikatiakiwanawarembowakinyanganyirochaReddsm.jpg)
Balozi wa wanawake mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga (katikati) akiwa na warembo wa…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM17 Jul
THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINA SANGA
Msanii Lina akitoa zawadi kwa mkurugenzi wa Tanzania House of Talent(THT)Ruge Mutahaba katika hafla ya kumuaga msanii huyo kutoka chini ya THT na kuelekea kampuni ya No Fake Zone(NFZ)ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo iliyofanyika jana katika ofisi za THT,jijini Dar.
Mkurugenzi wa THT akzungumza kwenye hafla hiyo ya kumuaga msanii Lina.
Mkurugenzi wa THT,Rufe Mutahaba akitoa cheti cha Ustadi wa kazi kwa msanii Mwasiti ambaye ameitambulisha vyema taasisi hiyo tangu ilivyoanza.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA9soO6xl99Ugkd5g7w5iXUzXEPv4H1NIabcZnsXQW3bAuW5zLImzTewRE4fBzQNW5-DiDJuux2OM4QsQxELL0If/LINAH.jpg?width=650)
LINAH SANGA: NACHIZIKA NA UPAJA WANGU
10 years ago
GPLMSANII MANAIKI SANGA ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Life style: Manaiki Sanga, Mkali wa “Selfies” Hapa Bongo!!!
‘Selfie’ ni aina ya picha ambazo watu hujipiga wenyewe kwa kutumia camera za simu zao au digital camera na mara nyingi huwa ni kwaajili ya ku-share kwenye mitandao ya kijamii.
Leo katika pitiapitia za kurasa za waigizaji wa hapa bongo, nimebaini kuwa mwigizaji Manaiki Sanga ndie msanii ambae amepiga selfies kali zaidi, hapa nazungumzia zile zinazo jumuisha watu zaidi ya mmoja.
Kama unam-follow makali huyu kwenye mtandao wa instagram, utakubaliana na mimi kuwa jamaa anapenda sana mtindo...
10 years ago
VijimamboWEMA SEPETU ALIZUA JIPYA AKWAPUA BWANA WA LINAH SANGA.
Hii ndiyo picha iliyochafua hali ya hewa kati ya Wema na Linnah inasemekana ilipigwa kwenye sita kwa sita na huyo boyfriend wa Linnah. Jitiririshe hapa chini kusikia Linnah anaongea nini juu ya hii habari amabyo ndiyo joto la mjini bongo kwa sasa kunako mitandao ya kijamii.
![](http://2.bp.blogspot.com/-fy2GJIWrYPU/VXCmTaKMdTI/AAAAAAADp_g/dGHy_SE999c/s640/224492ba1def11e3bede22000aeb43a7_7.jpg)
Madam Wema Sepetu amkwapua bwana wa Linah Sanga akiongea kwa uchungu msanii huyo wa bongo fleva kwenye kipindi cha Ala za roho,Amedai penzi lake limekwenda na maji baada ya madam kufanya yake.Bwana huyo ndie alikua meneja...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-SgxTdTexAKE/VO8jnoYwswI/AAAAAAADPPs/atlWpWfYOKE/s72-c/10917189_10152743181497005_4170759596791448106_o.jpg)
Help needed to find anyone who knew American Dean Erwin and Tanzanian Rehema Sanga
![](http://1.bp.blogspot.com/-SgxTdTexAKE/VO8jnoYwswI/AAAAAAADPPs/atlWpWfYOKE/s1600/10917189_10152743181497005_4170759596791448106_o.jpg)
I am searching for anyone who knew an American man (white) named Dean Edward Erwin and a Tanzanian woman called Rehema Sanga. Mr. Erwin died in Arusha, Tanzania in 2011. He was married to Rehema Sanga. Together, they had three children. After the death of Mr. Erwin the mother become mentally ill and no one knows her whereabouts.
If you know Dean Edward Erwin family in America or Rehema Sanga's family, please notify them that the couple's children...
11 years ago
Michuzi08 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNbVwA6g8OVC1JCI99UlEulNe02bjN2ani3vyQ3N2*jvCTsD6Q-Y2Q8vsAOwsy9ApPOabFMhKK3JEWQxomgcl*5t/linahusagaji.jpg?width=650)
LINA: SIJAWAHI KUSAGANA
10 years ago
GPLMWANAHABARI DEOGRATIAS MONGELA ALIVYO UKACHA UKAPERA KWA KUMUOA ELIZABETH SANGA DAR ES SALAAM JANA