Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIC YAKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHINI UJERUMANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Juliet Kairuki (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano maalum kati ya Uongozi wa TIC na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani,wenye lengo la kuhamasisha na kukuza Uwekezaji na biashara kati ya Tanzania na Ujerumani,uliofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa Mikutano ya kituo hicho,jijini Dar es salaam.Ujumbe huo unaongozwa na Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na Nishati wa nchini Ujerumani,Mh. Matthias Machnig (wa pili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TIC YAKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHINI UJERUMANI‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Juliet Kairuki (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano maalum kati ya Uongozi wa TIC na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani,wenye lengo la kuhamasisha na kukuza Uwekezaji na biashara kati ya Tanzania na Ujerumani,uliofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa Mikutano ya kituo hicho,jijini Dar es salaam.Ujumbe huo unaongozwa na Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI MADINI YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA UJERUMANI NCHINI

 Naibu Waziri wa Madini wa Wizara ya Nishati na Madini,Charle’s  Kitwanga akizungumza leo jijini Dar es Salaam  na wafanyabiashara wa Ujerumani wakitaka kujua fursa za uwekezaji katika sekta ya Nishati na Madini.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,Ndosi Mwihava akitoa maelezo kwa wafanyabiashara wa Ujerumani wakitaka kujua mazingira ya uwekezaji katika sekta ya nishati na Madini walipotembelea wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Kiongozi wa Wafanyabiashara wa Ujerumani...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA KOREA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mmoja wa wafanyabishara wa nishati kutoka Korea akiangalia  vinyago kwenye banda la  Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho  ya Kimataifa ya  Sabasaba (Dar es Salaam International  Trade Fair; DITF) yanayoendelea katika  viwanja  vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Afisa wa Huduma kwa Wateja kutoka Shirika la  Umeme Nchini (TANESCO)  Lucas Kusare ( wa pili kutoka kulia) akiwaonesha  wafanyabiashara wa nishati kutoka Korea mfano wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TIC yawafunda wafanyabiashara

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kutumia fursa waliyopata wakati wa kongamano la pili la biashara kati ya Tanzania na China kujenga mtandao wa kibiashara utakaodumu kwa faida yao na nchi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wakubwa msiwe wachuuzi - TIC

Wafanyabiashara wakubwa mkoani hapa wametakiwa kutofanya biashara za uchuuzi badala yake wawekeze kwa kujenga vitega uchumi mbalimbali, kama vyuo, shule na viwanda ili kulinda utajiri wao.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA NCHINI UTURUKI

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amepokea ujumbe kutoka nchi ya uturuki. Ulioongozwa na meya wa Uturuki Mr. Ekrem Yüce na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Prof. Elizabeth K. Kiondo na mwenyeji wao Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu.
Ujumbe umeonesha nia yao ni kufanya mazungumzo lenye lengo la nchi ya Uturuki kufanya uwekezaji nchini Tanzania.
Bashungwa amewaeleza jinsi Tanzania inavyoendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji na biashara kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Ujumbe wa maafisa kutoka Tanzania wamtembelea Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege, nchini Malawi

Ujumbe wa maafisa wanane kutoka Tanzania ulioko nchini Malawi kwa ziara ya kimafunzo umemtembelea Mhe. Victoria R. Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi, ofisini kwake mjini Lilongwe. 
Ujumbe huo wenye maafisa kutoka taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo Ofisi ya Rais –Utumishi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wizara ya Fedha, Clinton Health Access Initiative (CHAI), na Mpango wa Taifa wa Kuthibiti UKIMWI (National Aids...

 

10 years ago

Vijimambo

ZAIDI YA WAFANYABIASHARA 100 KUTOKA MIKOA YA MBEYA,IRINGA,NJOMBE KUHUDHURIA MAONESHO NCHINI AFRIKA KUSINI

Makamu Mwenyekiti Chama cha wafanyabiashara wa Kilimo na Viwanda Mkoa wa Mbeya ( TCCIA)wa Kwanza kulia Ndugu Emire Mahinza akizungumza na waandishi wa habri juu ya safari hiyo akiwa pamoja na Makamu Rais wa TCCIA Tanzania wa Pili kulia Ndugu Julius Kaijage pamoja na Mkurugenzi wa Blue Bird Burue De Change ya jijiji Mbeya Ndugu Janko Ndigo
- See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2015/02/wafanyabiashara-zaidi-100-kutoka-mikoa.html#sthash.nKhTlXrj.dpuf
Mkurugenzi wa Blue Bird Burue De Change...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WAKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA GUANG DONG WA NCHINI CHINA LEO ASUBUHI WIZARANI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha Ndege cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing (kushoto), akimpatia zawadi Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi baada ya ugeni huo kukutana na uongozi wa Wizara ya Uchukuzi leo asubuhi.
 Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing wakati ujumbe huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani