Tigo yashinda tuzo ya mwajiri bora wa mwaka
Naibu Mkuu wa Rasilmali Watu nwa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Doris Luvanda akipokea kikombe cha mshindi wa mwajiri bora wa mwaka 2015 kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu mkuu Dkt Florens Turuka na mwenyekiti wa ATE Almas Maige, Mkuu wa Mkoa wa DSM Said Meck Sadiki na Mkurugenzi wa ATE Dkt Aggrey Mlimuka.
Maadili ya kazi yanayoonyeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo Tanzania pamoja na juhudi zinazohitajika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
TBL Group yashinda tuzo ya mwajiri bora mwaka 2015
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa (kulia) akimkabidhi kombe la tuzo ya mwajiri bora kwa Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese (Kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City mwishoni mwa wiki ambapo TBL iliibuka kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2015,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiki.
Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese akionyesha kombe la tuzo ya mwajiri bora...
10 years ago
MichuziBENKI YA EXIM KATIKA TUZO ZA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2014
9 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro. Mwakilishi wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber, Dkt. Timoth Kyepa akipokea...
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...
10 years ago
MichuziTBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA
10 years ago
GPLTBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA
10 years ago
MichuziVODACOM YATANGAZWA MSHINDA WA TUZO ZA MWAJIRI BORA 2014
Dar es Salaam December 12, 2014: The Association of Tanzania Employers (ATE) has declared Vodacom Tanzania Limited the Employer of the Year for the second year in a row. The Right Honourable Prime Minister Mizengo Pinda was the Guest of Honour at this year’s ATE Employer Of the Year Award Presentation ceremony which was held at the Mlimani City Conference Centre in Dar es Salaam on December 11, 2014. “This is the...
10 years ago
GPLVODACOM YATANGAZWA MSHINDA WA TUZO ZA MWAJIRI BORA 2014
11 years ago
GPLVODACOM MWAJIRI BORA TANZANIA MWAKA 2013