VODACOM MWAJIRI BORA TANZANIA MWAKA 2013
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akikabidhi kwa Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim kombe la Mwajiri Bora wa Mwaka 2013 mara baada ya kampuni hiyo kutangazwa kuwa mwajiri bora wa mwaka 2013 iliyotolewa na Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE). Nyuma ya Makamu wa Rais ni Makamu Mwenyekiti wa ATE Zuhura Sinare. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Vodacom Tuzo hizo zimetolewa Wakati wa chakula cha usiku...
GPL