Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIKO: NIPO TAYARI KUPOKEA BARUA YA UCHUMBA

Laurent Samatta /Uwazi
MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan ‘Tiko’, amefunguka kuwa anashindwa kuolewa kutokana na kukosa mwanaume wa kufanya hivyo, ila yupo tayari kupokea barua ya uchumba kutoka kwa mwanaume yeyote atakayehitaji kufunga naye ndoa. Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan ‘Tiko’. Akimwaga ubuyu na Uwazi, Tiko alisema bado hajapata yule ambaye anaweza kuwa mume wake hadi sasa japo amesubiri kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU APELEKEWA BARUA YA UCHUMBA

Stori: waandishi wetu
STAA ndani ya Tasnia ya Filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amepelekewa barua ya uchumba kutoka kwa mfanyabiashara mmoja jijini Dar na kumfanya mama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila abaki ameshangaa.Tukio hilo lilitendeka Januari 8, mwaka huu, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambako ndiko yaliko makazi ya Lulu na mama yake huyo. Mshenga anayefahamika kwa jina moja la Isaya akipeleka posa...

 

11 years ago

Mtanzania

Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Oliver Oswald Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.

Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo endapo watashindwa kuwa walinzi wa uharibifu...

 

10 years ago

Mtanzania

Ghasia: Nipo tayari kuwajibika

Hawa Ghasia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...

 

10 years ago

GPL

MASAI APELEKA BARUA YA UCHUMBA NYUMBANI KWA WAZAZI WA WEMA SEPETU

Mmasai wa Kigoma, Ayoub Nyembo ‘Masai’ akimpa 'dairekshen' mshenga wake kufika kwa Mama mkwe.  GOOD news? Habari mpya kutoka kwa mlimbwende asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam au Beautiful Onyinye’ ni kwamba, Mmasai wa Kigoma, Ayoub Nyembo ‘Masai’ ameibuka na kupeleka barua ya uchumba nyumbani kwa wazazi wa mrembo huyo, Sinza-Mori jijini Dar, Ijumaa Wikienda lina mkanda...

 

10 years ago

GPL

NAY: NIPO TAYARI KUPIMA DNA

Musa Mateja
KUFUATIA sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo amesema yupo tayari hata kwa vipimo vya vinasaba (DNA) ili kuthibitisha kuwa Curtis ni mtoto wake wa damu. Msanii wa Bongo Fleva Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’. Siwema ambaye Nay anadai kumfumania...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND: NIPO TAYARI KWA KIFO!

SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1NbUP9j ...

 

10 years ago

Habarileo

CCM waanza kupokea barua za pingamizi

WAGOMBEA waliolalamikia matokeao ya kura za maoni CCM, wameanza kuwasilisha barua za pingamizi katika ofisi za chama. Hatua hiyo inakuja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za maoni, zilizofanyika kuwatafuta wagombea watakaokiwakilisha chama katika uchaguzi mkuu kwa ngazi ya udiwani na ubunge.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND SASA NIPO TAYARI KWA KIFO

diamond mtotoStaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mtoto wake Latifah ‘Princess Tiffah’.
SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.

KWANZA ANAMSHUKURU MUNGU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini,...

 

11 years ago

GPL

HALIMA: KWA DIAMOND, NIPO TAYARI KUFA

Stori: Imelda Mtema
DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake. Dada wa hiyari Halim akiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).
“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani