CCM waanza kupokea barua za pingamizi
WAGOMBEA waliolalamikia matokeao ya kura za maoni CCM, wameanza kuwasilisha barua za pingamizi katika ofisi za chama. Hatua hiyo inakuja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za maoni, zilizofanyika kuwatafuta wagombea watakaokiwakilisha chama katika uchaguzi mkuu kwa ngazi ya udiwani na ubunge.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7OWI13*0zogU9ZnCfTdgM8elLMIzDYCZvIIJ**WL8Gbf7UqGpHUsmtUrOTDKo3uMNMMAfN2HnYlzcw6bGYh8kJH/Tiko.jpg)
TIKO: NIPO TAYARI KUPOKEA BARUA YA UCHUMBA
9 years ago
Mtanzania22 Oct
ZIFF wafungua pazia waanza kupokea filamu za 2016
NA FESTO POLEA
KAMATI ya maandalizi ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), imetangaza kuanza kupokea filamu za wasanii mbalimbali kote duniani ili zishindanishwe na kupitishwa kwa ajili ya kuonyeshwa katika tamasha hilo kwa mwakani.
Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Prof Martin Mhando, alisema licha ya uwepo wa hofu ya kutokuwepo kwa matamasha makubwa yanayofanyika visiwani Zanzibar, tamasha hilo la 18 lenye kauli mbiu ya ‘Ndiyo hii Safari Yetu’ litafanyika kama kawaida kuanzia Julai 9...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lPVppr44ELk/U6x_YGWJFUI/AAAAAAAFtKM/fCv7AXfu0xM/s72-c/unnamed+(6).jpg)
MAOFISA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU WAANZA KUPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA NJIA YA SIMU
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa nchini imeanza kuboresha huduma zake kwa jamii baada ya kuanzisha huduma mpya ya kupokea malalamiko ya wananchi kwa njia ya ujumbe mfupi kupitia simu za kiganjani.
Hayo yalibainishwa jana na Maofisa wa Tume hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani mjini Tabora ambao ulilenga kutambulisha na kuhamasisha matumizi ya huduma hiyo kwa wananchi na wadau mbalimbali wenye malalamiko yoyote au...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XNwJfJD0zYA/U54Azu5AwRI/AAAAAAAFq5c/yaukuCeka-A/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Shamra shamra za kupokea wanachama wapya wa CCM ELIMU-UDOM Makao Makuu ya CCM Dodoma
![](http://1.bp.blogspot.com/-XNwJfJD0zYA/U54Azu5AwRI/AAAAAAAFq5c/yaukuCeka-A/s1600/unnamed+(8).jpg)
11 years ago
Michuzi20 Feb
PINGAMIZI LA CHADEMA DHIDI YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA LATUPWA
Lile pingamizi lililokuwa limewekwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya mgombea ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limetupwa.
Katika pingamizi lao lilowasilishwa juzi, Chadema walikuwa wanapinga Godfrey Mgimwa kugombea ubunge kupitia CCM kama alivyoomba kwa kuwa sio raia wa Tanzania.
Tetesi za tatizo la uraia wa Godfrey Mgimwa zilisambaa mjini Iringa baada ya Chadema kuweka pingamizi hilo.
Katika Pingamizi...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
CCM, UKAWA walimwa barua
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vitatu vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi vimetumiwa ujumbe mzito wa barua kutoka kwa Wanataaluma wa Kikristo Tanzania (CPT) ya kuvitaka viridhiane kwa maslahi ya...
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Kaimu Msimamizi wa uchaguzi Singida mjini atupilia mbali pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea wa CCM
Kaimu msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida mjini, Gerald Muhabuki Zephyrin,akizungumza na Modewjiblog juu ya uchaguzi ubunge jimbo la Singida mjini.(Picha na Gasper Andrew).
Na Nathaniel Limu, Singida
PINGAMIZI lililowekwa na Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA),jimbo la Singida mjini, dhidi ya mgombea wa CCM Mussa Ramadhan Sima kuwa fomu zake haziko sawa kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za uchaguzi,limetupiliwa mbali kwa madai kwamba halina mashiko.
Akizungumza na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/faf8*WCrWjVE5APhBgktfEzd3uYw7cB7zILXuUa-noYpPUZcJ2M15XRoOPcgmPJE4*MeH*QWZCAe-QqFQZPntRXrzn*93iGA/25c0CCM.jpg)
BARUA KALI KWA CCM NA WATANZANIA WOTE