CCM, UKAWA walimwa barua
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vitatu vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi vimetumiwa ujumbe mzito wa barua kutoka kwa Wanataaluma wa Kikristo Tanzania (CPT) ya kuvitaka viridhiane kwa maslahi ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Nov
Wakurugenzi halmashauri, miji walimwa barua
OFISI ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (Tamisemi), imewaandikia baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji barua za kuwabadilishia majukumu, baada ya kubainika wameshindwa kwenda na kasi ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari.
10 years ago
Habarileo11 Dec
Watendaji Tarime walimwa barua kwa kutojenga maabara
WATENDAJI wa kata wapatao 10 kati ya 24 wa wilayani Tarime wamepewa barua za kujieleza kwa nini wameshindwa kutekeleza ujenzi wa maabara agizo ambalo limetolewa na Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
Habarileo06 Aug
CCM waanza kupokea barua za pingamizi
WAGOMBEA waliolalamikia matokeao ya kura za maoni CCM, wameanza kuwasilisha barua za pingamizi katika ofisi za chama. Hatua hiyo inakuja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za maoni, zilizofanyika kuwatafuta wagombea watakaokiwakilisha chama katika uchaguzi mkuu kwa ngazi ya udiwani na ubunge.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/faf8*WCrWjVE5APhBgktfEzd3uYw7cB7zILXuUa-noYpPUZcJ2M15XRoOPcgmPJE4*MeH*QWZCAe-QqFQZPntRXrzn*93iGA/25c0CCM.jpg)
BARUA KALI KWA CCM NA WATANZANIA WOTE
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Eric Shigongo aandiuka barua kali kwa CCM na Watanzania wote!
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Ndugu zangu. Watanzania wenzangu,
Kwanza kabisa nawapongezeni kwa amani na utulivu mliouonyesha katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ambao ulimalizika salama na hatimaye jana Rais wa Awamu wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliapishwa mbele ya macho yangu na ya Watanzania wengine wengi.
Hakika tumeuthibitishia ulimwengu kwamba, sisi Watanzania ni tofauti na wao, tunao uwezo wa kuvuka kwenye nyakati ngumu lakini bado...
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Eric Shigongo aandika barua kali kwa CCM na Watanzania wote!
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Ndugu zangu. Watanzania wenzangu,
Kwanza kabisa nawapongezeni kwa amani na utulivu mliouonyesha katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ambao ulimalizika salama na hatimaye jana Rais wa Awamu wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliapishwa mbele ya macho yangu na ya Watanzania wengine wengi.
Hakika tumeuthibitishia ulimwengu kwamba, sisi Watanzania ni tofauti na wao, tunao uwezo wa kuvuka kwenye nyakati ngumu lakini bado...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
CCM, Ukawa gumzo
11 years ago
Habarileo07 May
CCM waivimbia Ukawa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushawishi viongozi wa Serikali au viongozi wa kitaifa, wawalazimishe au wawabembeleze wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni.
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
UKAWA yaikwamisha CCM
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kurekebisha kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, ili kutumia wingi wake kupitisha ibara na sura za rasimu ya katiba kwenye kamati zimegonga...