Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watendaji Tarime walimwa barua kwa kutojenga maabara

WATENDAJI wa kata wapatao 10 kati ya 24 wa wilayani Tarime wamepewa barua za kujieleza kwa nini wameshindwa kutekeleza ujenzi wa maabara agizo ambalo limetolewa na Rais Jakaya Kikwete.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM, UKAWA walimwa barua

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vitatu vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi vimetumiwa ujumbe mzito wa barua kutoka kwa Wanataaluma wa Kikristo Tanzania (CPT) ya kuvitaka viridhiane kwa maslahi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Wakurugenzi halmashauri, miji walimwa barua

Katibu Mkuu wa Tamisemi, Jumanne SaginiOFISI ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (Tamisemi), imewaandikia baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji barua za kuwabadilishia majukumu, baada ya kubainika wameshindwa kwenda na kasi ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari.

 

10 years ago

Habarileo

RC awabana watendaji maabara za sekondari

Mkuu Mkoa wa Singida, Dk Parseko KoneMKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amewataka viongozi wa CCM na watendaji katika Manispaa ya Singida kujiandaa kuachia ngazi kwenye nafasi zao iwapo watashindwa kukamilisha ujenzi wa maabara za shule za sekondari katika maeneo yao ifikapo Oktoba 15, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Maabara zazuia likizo za watendaji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu amezuia likizo za watendaji wote wa halmashauri hiyo mpaka ujenzi wa vyumba vya maabara katika shule 11 za sekondari wilayani hapa utakapokamilika.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

9 years ago

Dewji Blog

Barua ya wazi kwa Rais Dr. John Pombe Magufuli kutoka kwa mdau wa Usalama Barabarani

unnamed (3)

Ndugu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano.

Nianze barua yangu kwa kugusia changamoto ya ajali nchini. Ajali limekuwa ni tatizo sugu licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na serikali. Ni hivi karibuni ripoti ya mwenendo wa ajali za barabarani imetolewa na Tanzania ikishika nafasi ya tano kwa kuwa na...

 

9 years ago

Michuzi

BARUA YA WAZI KWA RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA MDAU WA USALAMA BARABARAN


Ndugu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, 

Nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano.

Nianze barua yangu kwa kugusia changamoto ya ajali nchini. Ajali limekuwa ni tatizo sugu licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na serikali. Ni hivi karibuni ripoti ya mwenendo wa ajali za barabarani imetolewa na Tanzania ikishika nafasi ya tano kwa kuwa na matukio...

 

11 years ago

Michuzi

Barua ya wazi kwa wabunge na vyama vyote vya siasa na viongozi wote na kwa umma wa Tanzania.

Na mshurukuru Mungu kwa kunipa afya na uzima mpaka leo na mpaka kufikia hapa tulipofika na kuweza kuona miaka zaidi ya hamsini ya uhuru na miaka hamsini ya Muungano  na mpaka kufikia hatuwa ya kuweza kupata katiba mpaya au mchakato wa kuandika katiba mpya, Na wewe Bwana michuzi nashukuru kwa kazi yako unayoifanya ya kutupa matukio yanayotokea uko nyumbani kwa video na kwa picha,Mungu akurinde na akupe uzima na Afya.
Bwana michuzi wazungu wanasema  damu ni nzito kuliko maji...

 

9 years ago

Michuzi

Barua ya Shigongo kwa kwa watumishi wa umma

meiomosi-2013Nawasalimuni nyote katika jina la nchi yetu nzuri Tanzania, Jina ambalo huko nyuma sote tuliliimba “Tazama ramani utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka…nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaa!” Hakika wimbo huu vijana wengi siku hizi wanashindwa kuuimba, kwa nini? Uzuri wa taifa lao haupo tena, umepotezwa na baadhi yenu watumishi wa umma wasio na uadilifu. 
Sio siri vijana wetu kwa muda mrefu wameshindwa kujivunia taifa lao, wameshindwa kuongea mbele za watu kwa sauti kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani