Maabara zazuia likizo za watendaji
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu amezuia likizo za watendaji wote wa halmashauri hiyo mpaka ujenzi wa vyumba vya maabara katika shule 11 za sekondari wilayani hapa utakapokamilika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Aug
RC awabana watendaji maabara za sekondari
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amewataka viongozi wa CCM na watendaji katika Manispaa ya Singida kujiandaa kuachia ngazi kwenye nafasi zao iwapo watashindwa kukamilisha ujenzi wa maabara za shule za sekondari katika maeneo yao ifikapo Oktoba 15, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo11 Dec
Watendaji Tarime walimwa barua kwa kutojenga maabara
WATENDAJI wa kata wapatao 10 kati ya 24 wa wilayani Tarime wamepewa barua za kujieleza kwa nini wameshindwa kutekeleza ujenzi wa maabara agizo ambalo limetolewa na Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara
9 years ago
GPLUCHAGUZI WAMPA LIKIZO JB
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Maandalizi ya likizo ya uzazi
MOJA kati ya mambo yanayomsaidia mzazi, hasa mwanamke ambaye ameajiriwa, ni likizo ya uzazi anayopatiwa pale anapojifungua. Yapo masharti mengi yanayoendana na likizo ya uzazi, lakini kwa mujibu wa sheria...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
RC asitisha likizo za wakuu wa wilaya
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe, amesitisha likizo zote kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri hadi ujenzi wa majengo ya maabara utakapokamilika. Mbali na kusitisha...
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Adebayo apewa likizo binafsi
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Magufuli awanyima likizo makandarasi
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewataka wahandisi wote nchini kutokwenda likizo kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka hadi miundombinu iliyoharibiwa na mvua itakapokamilika kukarabatiwa. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Likizo ya malipo ni haki ya mwajiriwa