Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Likizo ya malipo ni haki ya mwajiriwa

Makala hii inamsaidia mwajiri na mwajiriwa kujua jinsi ya kupeana na kuomba likizo kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini na. 6 ya mwaka 2004. Sheria hii inatoa muongozo jinsi ya kupeana likizo na aina ya likizo ambazo muajiriwa anapaswa kupewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Likizo kwa malipo iko kisheria, siyo msaada

Binadamu wa kawaida katika maisha yetu na shughuli zetu, tunakutana na mengi sana ikiwa ni pamoja na magonjwa, misiba, msongo wa mawazo na vitu vingine vingi sana.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza likizo ya malipo ya mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 160 kwa wateja wake ili kuwanusuru na athariza janga la COVID - 19.

Benki ya Exim yatangaza likizo ya malipo ya mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 160 kwa wateja wake ili kuwanusuru na athari za janga la COVID - 19.
Benki ya Exim imetangaza msamaha wa likizo ya malipo ya mikopo kwa wateja wake wakubwa, wa kati na wadogo walipo katika sekta zilizo athirika zaidi kiuchumi kutokana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa virus vya Corona (COVID 19). Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na benki hiyo katika kuwasaidia kifedha wateja wake...

 

10 years ago

Habarileo

‘Utoaji ajira hauzingatii uzoefu wa mwajiriwa’

SERIKALI imesisitiza kuwa katika kutoa ajira, haizingatii uzoefu wa mwajiriwa kwa mujibu wa Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma ya mwaka 1999 Toleo la mwaka 2008, isipokuwa katika baadhi ya nafasi za juu.

 

9 years ago

Mwananchi

Je, unawezaje kuwa mwajiriwa kazini na mama bora nyumbani?

Malezi mazuri hayaji kwa siku moja; ni hatua kwa hatua na ni hatua zenye changamoto tele. Changamoto mojawapo ni kuwa mama wa familia na pia mwajiriwa. Mara nyingi utawasikia akina mama au wadada wenye watoto wakilalamika “Mwanangu sijakaa naye kwa muda mrefu, nimemisi mwanangu.” Sasa basi, ufanyaje ili uepukane na haya malalamiko?

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI WAMPA LIKIZO JB

Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’. Imelda Mtema LIKIZO! Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa amelazimika kujipa likizo ya lazima kwa kutofanya shughuli za sanaa hadi pale uchaguzi utakapopita. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, JB alisema ameamua kusimama kazi zake za sanaa kwani kwa sasa kila mtu anawaza mambo ya uchaguzi na hakuna chochote anachoweza kufanya kikapokelewa bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maandalizi ya likizo ya uzazi

MOJA kati ya mambo yanayomsaidia mzazi, hasa mwanamke ambaye ameajiriwa, ni likizo ya uzazi anayopatiwa pale anapojifungua. Yapo masharti mengi yanayoendana na likizo ya uzazi, lakini kwa mujibu wa sheria...

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Haki za Binadamu, Shirikianeni na TCRA Upatikanaji wa Haki za Mtandao-Waziri Kombo

 Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahamoud Thabit Kombo akizungumza katika kikao na ujumbe wa juu wa  watendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (kushoto), Watendaji Wakuu wa Wizara hiyo(kulia), pamoja na waandishi wa habari katika ziara ya tume hiyo iliyofanyika Zanzibar.   Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu



Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.

Kabudi ameyasema hayo kwenye hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo amekariri ahadi ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo aliyoitoa akizihakikishia jumuiya za kimataifa kuhusiana na suala hilo. Akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa jijini Dar es Salaam Kabudi amesema:  “Mwaka huu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao

WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani