RC awabana watendaji maabara za sekondari
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amewataka viongozi wa CCM na watendaji katika Manispaa ya Singida kujiandaa kuachia ngazi kwenye nafasi zao iwapo watashindwa kukamilisha ujenzi wa maabara za shule za sekondari katika maeneo yao ifikapo Oktoba 15, mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Maabara zazuia likizo za watendaji
10 years ago
Habarileo11 Dec
Watendaji Tarime walimwa barua kwa kutojenga maabara
WATENDAJI wa kata wapatao 10 kati ya 24 wa wilayani Tarime wamepewa barua za kujieleza kwa nini wameshindwa kutekeleza ujenzi wa maabara agizo ambalo limetolewa na Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
Habarileo15 Nov
Tigo yachangia maabara sekondari
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo, imetangaza kuchangia vifaa katika maabara ya shule za sekondari ambazo zimekwishajengwa wilayani Mtwara.
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Ujenzi maabara za Sekondari ni ishara mbaya ya uongozi
SI mara ya kwanza kwako wewe msomaji kusikia kwamba Tanzania kuna ombwe la uongozi. Imesemwa sana na watu wa kada na nyakati tofauti kwa mambo yanavyokwenda katika taifa letu si...
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Milioni 40 zachangwa kwa ujenzi wa maabara ya sekondari
Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza mchezo wa...
10 years ago
MichuziMILIONI 40 ZACHANGISHWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza...
10 years ago
MichuziTPDC YACHANGIA UJENZI WA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA MTWARA VIJIJINI
10 years ago
GPLSEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA