Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOP 10 YA WAIGIZAJI WA KIKE WENYE MVUTO AFRIKA!

Stori: Amran Kaima na Mtandao Tasnia ya filamu Afrika inakuwa kila siku kiasi kwamba zile ndoto za kufanya kama wenzetu wa Hollywood (Marekani) na Bollywood (India) huenda siku moja zikatimia. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kama ilivyo Hollywood na kwingine kwenye waigizaji wa kike wenye mvuto, wapo pia waigizaji wa kike Afrika ambao ni ‘visu’.Leo hii ikihitajika Top 10, kila mmoja atakuwa na yake lakini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akiri Kuwa Waigizaji Wengi wa Kike Wanajiuza!!!

Muigizaji  mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.

“Tatizo ni kwamba wasanii tumekutana kila mmoja ana tabia zake na ni ngumu kujua undani wa mtu kwa kumtazama mara moja,...

 

10 years ago

Mwananchi

Natasha akerwa na utovu wa nidhamu kwa waigizaji wa kike

Mwigizaji mkongwe wa filamu nchini Natasha Mamvi amesema utovu wa nidhamu na maisha yaliyojaa ukakasi kwa waigizaji wa kike hivi sasa, ni matokeo ya kuingia katika fani pasipo kupitia mafunzo ya taaluma hiyo.

 

11 years ago

Bongo5

Forbes: Orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood waliolipwa pesa nyingi zaidi 2013-2014

Forbes imetoa orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi katika kipindi cha kati ya June 2013 na June 2014 kupitia filamu (Hollywood’s Highest Paid Actresses). Miongoni na waigizaji walioingia kwenye Top 10 ni pamoja na Sandra Bullock, Angelina Jolie, Jennifer Lawrence na Cameron Diaz. Hii ni Top 10: 1. Sandra […]

 

9 years ago

Bongo5

Wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani

Hii ni orodha ya wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani hii ni kwa mujibu wa ttandao wa www.sokkaa.com umetoa orodha hii ‘Most Handsome Footballers in the World’ 10. Mats Hummels-Borussi Drtmund Ni mchezaji wa kijerumani anaye chezea klabu ya Dortimnd ambaye ni nahodha wa kikosi hicho 9. Gerrard Piqué–FC Barcelona Gerrard Pique anakamata nafasi ya […]

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND NA MZIMU WAO WA MZIKI WA DANSI ! WENYE MVUTO MKUBWA BARANI ULAYA

Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band,ni bendi ya kwanza ya kiafrika iliyojiwekea nafasi ya pekee katika nyoyo za washabiki uko ughaibuni.Bendi hiyo ambayo imetajwa kuwa ndio bendi ya kwanza ya kiafrika kutumia muziki wake kutoka uswahilini kama daraja la kuwafikia washabiki wake  katika kona zote duniani,pia imetajwa na vianzo vya habari vya kimataifa  kuwa  mdundo wa mziki wake umekuwa ni urimbo unao wanasa na kuwatia kiwewe washabiki, popote pale duniani.Bendi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani