Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOP 5 MISS TABATA 2014 HII HAPA

Warembo walioingia Top 5 wakiwa katika pozi. Lemutuz akitangaza washindi walioingia Top 5.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?

 Husna Ibrahim  Evodia Mdemu  Happiness Wilson  Lightness Olomi  Fatma Hussein  Marium Shwaib  Ramta Mkadara  Angela Kashaga  Ambasia Maliy  10.Nuru Omary  Mary Henry  Najma Charles  Faudhia Feka  .Lydia Charle  .Lydia Charle Mary Kazula

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI

Washiriki wa Miss Tabata 2014 wakiwa stejini ndani ya ukumbi wa Da' West, Tabata.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warembo 17 mazoezini Miss Tabata 2014

WAREMBO 17 wamejitokeza kushiriki shindano la kumtafuta Redd’s Miss Tabata 2014. Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, warembo hao wanaendelea na mazoezi katika...

 

11 years ago

GPL

AMBASIA MALIY NDIYE MISS TABATA 2014

Mshindi wa taji la Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy (katikati) akipozi na mshindi wa pili Ramta Mkadara (kushoto) na wa tatu Faudhia Feka (kulia). Washindi walioingia Top 3 wakati wakisubiri atangazwe mshindi.…

 

11 years ago

GPL

AMBASIA MALIY ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Mrembo Ambasia Maliy Juni 6, 2014 alitwaa taji la Miss Tabata 2014, huku Ramta Mkandara akishika nafasi ya pili na ya tatu kwenda kwa Faudhia Feka. Bendi ya Twanga Pepeta ilitoa burudani ya nguvu kusindikiza mashindano hayo ambapo GLOBAL TV ONLINE walikuwa moja ya…

 

11 years ago

Michuzi

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata. Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .   Miss Tabata...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ambasia Maliy atwaa taji la Redd’s Miss Tabata 2014

Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.

1

Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da’west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .

23

 

11 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAKIFANYA VITU VYAO KWENYE FAINALI ZA MISS TABATA 2014

Twanga Pepeta wakilitawala jukwaa la Da' West usiku huu. Madansa wa Twanga wakionyesha umahiri wao stejini.…

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU

Mabango ya Global Publishers ambao ni mojawapo ya wadhamini wa Miss Tabata 2014 yakiwa ndani ya Da' West, Tabata. Baadhi ya wananchi walioanza kuingia ukumbini kwa ajili ya kumshuhudia Miss Tabata 2014 usiku huu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani