TOTAL TANZNAIA LIMITED NA SATF WATOA MSAADA WA MADAWATI 1000 KWA SHULE ZA TEMEKE
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadick Meck Sadick akimkabidhi madawati 1000 Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke. Madawati hayo ni msaada uliotolewa na kampuni ya mafuta ya TOTAL Tanzania Limited wakishirikiana na shirika la SATF(Social Action Trust Fund). Msaada huo uliratibiwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
Wanafunzi wa shule ya msingi Chamazi wakishangilia msaada wa madawati uliotolewa na Kamuni ya TOTAL Tanzania Limited na SATF. Katika picha, mkuu wa mkoa Sadick Meck Sadick (Katikati)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTEA YAPOKEA MSAADA WA MADAWATI 1000 KUTOKA KAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (wa pili kulia) akikata utepe na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total, Jean-Christian Bergeron (wa tatu kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 1000 yaliyotolewa kama msaada na Total kwa ajili ya Shule 10 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Makabidhiano hayo yalifanyika wilayani Bagamoyo jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Prof. Naomi Katunzi (kulia) na Kushoto anayeshuhudia...
9 years ago
MichuziJamani Foundation yatoa msaada wa madawati 150 kwa shule tatu za Temeke
10 years ago
MichuziTRA yaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi Tanzania,Yatoa Msaada Hospitali ya Temeke na Kukabidhi Madawati 100 Shule ya Msingi Misitu,Kivule
Mara baada ya kukamilisha shughuli zote za hospitalini hapo,Wafanyakazi hao walielekea...
9 years ago
MichuziMsaada wa madawati kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani
10 years ago
MichuziBENKI YA KCB TANZANIA YATOA MSAADA WA MADWATI 1000 KWA SHULE KUMI ZA DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi06 Mar
TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
9 years ago
VijimamboBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili