Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOVUTI YA NAFASI ZA AJIRA YAZINDULIWA JIJINI LEO

  Mkurugenzi Mtendaji wa tofuti ya ajira ya Owbaz, Barbara Butter (kushoto) akimpa maua balozi mpya wa Owbaz, Abernego Damian Nyamoga ‘Belle 9’ katika hafla ya uzinduzi rasmi wa tovuti hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Cosmos,  Muhammad Owais Pardesi na Mkurugenzi Rasilimali Watu wa kampuni ya bima ya Aris, Paritosh Bajaria. Mkurugenzi Mtendaji wa tofuti ya ajira ya Owbaz, Barbara Butter (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Mitandao ya kijamii   imeongeza wigo katika ajira kwa vijana kufanya ubunifu mbalimbali ikiwemo uuzaji wa bidhaa kwa kutumia mitandao hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.

Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake'  na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Tovuti ya Mhe. Stephen Wasira jijini Dar es salaam leo

Mhe. Stephen Wasira amezindua tovuti itasaidia umma kupata taarifa zinazohusu shughuli za maendeleo na changamoto katika jimbo la Bunda na nyinginezo.  Taarifa hizi zinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Unaweza kuzipata kulingana na kifaa (device) ukitumiacho kama desktop/laptop computer (PC), tablet na simu za mkononi. Mbunge wa Serengeti Mhe. Dr. Kebwe alikuwepo pia.  Tovuti inapatikana:  www.stephenwasira.co.tz Muonekano wa tovuti ya Mhe Stephen Wasira wakati wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tovuti mabadiliko tabianchi yazinduliwa Dar

KATIKA kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), imezindua tovuti maalumu ili kuweza kupambana na hali hiyo duniani. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Tovuti ya kuwasaidia wajasiriamali yazinduliwa nchini

Wajasiriamali wazawa sasa wanaweza kurasimisha biashara zao kwa urahisi, ziwe ndogo au kubwa, baada ya kuanzishwa kwa tovuti iliyosheheni taratibu za kufuata pamoja na hati muhimu za kisheria zilizotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili ambazo ujazwa kabla ya kurasimisha biashara.

 

11 years ago

Michuzi

Tovuti yazinduliwa kurahisisha urasimishaji biashara kwa wazawa

 Dr Ellen Otaru Okoedion Private Sector Development Programme 2013 Team leader from Tanzania, takes participants through a new website- www.fanyabiasharatanzania.com- launch in Dar es Salaam to help local entrepreneurs formalize and grow their businesses.   Dr Ellen Otaru Okoedion Private Sector Development Programme 2013 Team leader from Tanzania, introducing her teammates who also participated in the launch of a new website-www.fanyabiasharatanzania.com- to help local entrepreneurs...

 

11 years ago

Michuzi

TV 1 Tanzania yazinduliwa rami leo jijini Dar

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Kipya cha Televisheni (TV 1 Tanzania),Marcus Adolfsson akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Southen Sun,jijini Dar es Salaam leo,wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Kituo hicho cha Televisheni kitakachokuwa kikirusha matangazo yake kutokea Jijini Dar na kuonekana nchi nzima.  Watangazaji wa Kipindi cha The One Show kinachorusha na Kituo hicho kipya cha Televisheni(TV 1 Tanzania),Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne wakizungumzia namna...

 

10 years ago

Michuzi

MABANGO YA KUELIMISHA UKIMWI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

 Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Daniel Machemba katikati akikata utepe kaushiria uzinduzi wa mabango ya kuelimisha Ukimwi na masuala mbalimbali ya kuwajengea uwezo vijana yatakayosambazwa katika vyuo vikuu mbalimbali na Shirika la Vijana Tayoa. Anayefuata kulia ni kamishna mwingine Diana Chilolo, Mkurugenzi wa Tayoa Peter Masika. Kulia ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Emmanuel Mushi na Kamishna wa Tacaids, Faraja Kotta Nyalandu. Kamishna wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

FINCA Microfinance Bank yazinduliwa rasmi jijini Dar leo

Hapa uzinduzi rasmi wa Finca Microfinance Bank ukifanyika leo jijini Dar es Salaam.

Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa benki hiyo. Kushoto ni Zulpha Semboja na Kulia ni Rahmathi Damac warembo wa benki hiyo waliokuwa wakitoa huduma wakati wa uzinduzi huo.

Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kutoka kulia ni Meneja Rasilimali Watu (HRM), Mary...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani