TP Mazembe yaimwagia siri Stars
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MMILIKI wa klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi, ameipa siri ya ushindi timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, itakayosaidia kuwaua vinara wa soka barani Afrika, Algeria, ili kukata tiketi ya kusonga mbele kwenye michuano ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Jumamosi iliyopita TP Mazembe ilikutana na timu ya USM Alger ya Algeria katika mchezo wa awali wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuichapa mabao 2-1 ugenini na kujitengenezea...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen26 May
TP Mazembe aces to beef up Stars attack
10 years ago
TheCitizen08 May
Stars coach leaves out TP Mazembe strikers
10 years ago
TheCitizen12 Aug
SOCCER : Mazembe duo to miss Stars duels
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-fB3C7XcMn0I/VV6ukuYhcKI/AAAAAAADn3E/Y6H-UsNkxaI/s72-c/images.jpg)
JOHN BOCCO AFICHUA SIRI YA TAIFA STARS KUBORONGA, ASEMA; "TUSIKUBALI KUPELEKWA"
![](http://2.bp.blogspot.com/-fB3C7XcMn0I/VV6ukuYhcKI/AAAAAAADn3E/Y6H-UsNkxaI/s640/images.jpg)
"Nikiwa kama mchezaji waki TANZANIA ninaecheza ligi ya hapa nyumbani na nikiwa mmoja wa wachezaji katika Timu ya Taifa ya kizazi hiki cha sasa wa Mudamrefu. Naandika hivi nikiwa na huzuni na masikitiko makubwa juu ya mpira wetu wa TANZANIA kwa ujumla kuanzia club zetu, ligi yetu na mpaka kwenye Timu ya TAIFA 'TAIFA STARS'.Sijaandika ivi kwania ya kufundisha wala kukosoa MSHABIKI, KIONGOZI WA MPIRA, VILABU VYA TANZANIA, SHIRIKISHO LA MPIRA WA TANZANIA na wala TIMU YETU YA TAIFA YA MPIRA WA...
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
SSB yaimwagia TASWA mil 10/-
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Juma Pinto (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Tshs. 10,000,000 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kundi la Kampuni ya Said Salim Bakheresa (SSB), Bw. Mohamed Said Abeid kwa ajili ya sherehe za tuzo za mwanamicgezo bora. Wa tatu kulia ni Amir Mhando na Makamu Mwenyekiti Egbert Mkoko. Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar.(Picha na Habari Mseto Blog),
Na. Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Said Salim Bakheresa (SSB), imetoa sh. milioni 10 kwa...
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Marekani yaimwagia sifa Zanzibar
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
NAIBU Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya usalama wa raia, demokrasia na haki za binadamu, Sarah Sewall, amesifu juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Akizungumza wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo cha kuwawezesha wajasiriamali kilichopo eneo la Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Karume, Kisiwani Zanzibar jana, Sewall alisema SMZ inastahili pongezi katika hilo...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Azam yaimwagia fedha timu ya Madola
KAMPUNI ya Azam jana ilitoa kiasi cha dola 93,000 za Marekani kwa timu ya taifa inayokwenda Glasgow, Scotland kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola. Fedha hizo zilizokabidhiwa jana kwa Naibu...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
IPTL yaimwagia TASWA milioni 20 kuandaa tuzo za wanamichezo
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko, Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mwanasheria na...
11 years ago
GPLKAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIMWAGIA SIFA PPF